Ebu jibu huyu😂😂🤣🤣👇👇👇
View: https://x.com/HopeQuotes__/status/1819118695714595095
Taarifa zinasema ni cable sio engine.
Ebu jibu huyu😂😂🤣🤣👇👇👇
View: https://x.com/HopeQuotes__/status/1819118695714595095
Imekwama ama hazijakwama?🤣🤣😂😂Kisa umeme ila sio kisa ubovu wa treni yenyewe.
Mfumo wa umeme ndio inaonekana kusumbua.
Unaanzaje kukwama na wageni kichakani?😂😂🤣🤣👇👇
View: https://x.com/IAMartin_/status/1819117968401342627
Umehamisha mada!?Imekwama ama hazijakwama?🤣🤣😂😂
Mliuziwa mitumba and that’s why zinakwama. Zile battery zilifaa zikuje nazo ziko wapi?😂😂🤣🤣Umehamisha mada!?
Si ulisema locomotive ndio mbovu!?
Baada ya taarifa kusema cable ndio zimesumbua unahama mada!?
Aya zimekwama ila shida imeonekana ni kwenye cable sio locomotive.
Taarifa ya nani?🤣🤣😂😂Taarifa zinasema ni cable sio engine.
Wameanza kulia mapema sana🤣🤣😂😂👇👇👇
View: https://x.com/jigg1a/status/1819121874678280375
So leo unatrust picha post zangu?🤣🤣😂😂😂Hii alileta nani!?
View attachment 3059051
Yani SGR yenu hata mwezi bado lakini inabehave like a 800 years old infrastructure😂🤣🤣Ni kawaida ya raia kulalamika.
Kwasababu ilipofanya kazi kwa ufanisi mwezi mmoja na nusu hawakupiga kelele na walisifia.
Hivyo ni kawaida raia kulalamika.
Ni kawaida ya raia kulalamika.
Kwasababu ilipofanya kazi kwa ufanisi mwezi mmoja na nusu hawakupiga kelele na walisifia.
Hivyo ni kawaida raia kulalamika.
Tioneshe treni inatembea na vichwa viwili kama yenu. Hapa ni distance away picha imepigwa na kichwa kingine kipo umepnde mwingine wa rail track.Now I know why they using two train heads to pull the coaches. These trains hazina nguvu🤣🤣😂😂👇👇👇
Geza Ulole ulisema uonyeshwe train ya vichwa viwili ikifika Dodoma😂😂🤣🤣👇👇
View attachment 3059065
Hizi ni hujuma na huyu ni mwandishi wa habari na yupo kwenye hii kampeni ya hujuma ndio maana yupo ndani kutoa hizi news kwa wale jamaa na watu flani mitandaoni. Sio coincidence uwepo wake.Alafu kuna kondoo watakuambia kwamba shida sio trains😂😂🤣🤣👇👇👇
View attachment 3059061