Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Baadala mshugulike na kupata suluhisho ya kutatua shida ya train zenu kukwama porini kila mara wewe huko hapa kuongelea SGR ya Kenya yenye haitumii trains za kukwamakwama🤣🤣😂😂Possibility bado ipo! Mimi sioni uwezekano wa Kenya kujenga kipande cha Naivasha Malaba bila ya msaada wa Mchina na kama Uganda wameamua kujenga na Yepi Merkezi, China haita-finance Kenya’s Naivasha-Malaba SGR