ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,250
Kama pale port of dar slum na mwendokasi 😂😂😂
Inapendeza Sana ikifunikwa cover yake pale mbele Yani image ya bullet train kabisa inakuja🤗🤗🤗
View: https://www.instagram.com/reel/C-HsmelN_X3/?igsh=ajB6cHVqd3pzdzV0
Wasichojua Uganda aim yake ni connection na reli ya Tanzania ambayo Burundi na DRC pamoja na Rwanda wanashirikiana na watakuwa na miundombinu inayofananaMbona wasitumie chinese standards? Wame-pick AREMA standards?
Acha uongo😂😂🤣.Wasichojua Uganda aim yake ni connection na reli ya Tanzania ambayo Burundi na DRC pamoja na Rwanda wanashirikiana na watakuwa na miundombinu inayofanana
Embu rudi shule kwanza currency kuwa weak haimaanishi economy iko weak.ichoboy01 ebu toa maoni kidogo. Why is Tanzanian economy keeps on weakening?😂🤣🤣
View attachment 3058802
So juzi vile mlikuwa mnacheka currency ya kenya hukujua kwamba currency haimanishi economy iko weak?🤣🤣😂Embu rudi shule kwanza currency kuwa weak haimaanishi economy iko weak.
Kwa hiyo hutaki au? 😂😂😂👇👇Huu upuuzi sasa station ile inaitwa Tanzanite!
We all know which train is jungle train🤣🤣😂👇👇Yetu sio jungle train 😁
Kumbe na wewe ni kichaa kama bomu la machozi. Haya fungua fuvu.Tuambie port yenu na brt yenu zinamilikiwa na nani?
Ndio akili za uliyekua unamsifia huyo yani matreni kayaita majina yao wameona haitoshi usijekushangaa wakitaka kubadlisha jina la mji piaHuu upuuzi sasa station ile inaitwa Tanzanite! Kwani kuziita hizo treni EMU majina ya Maraisi haitoshi?
Nikama anahemea kura!Ndio akili za uliyekua unamsifia huyo yani matreni kayaita majina yao wameona haitoshi usijekushangaa wakitaka kubadlisha jina la mji pia