Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alaf maintenance cost inakuja bei gani after each 5yrs na wakat mwengine hata 3yrs haimalizi, alaf hii population inayoongezeka watakuja kutegemea Barbara pekee kama njia ya usafiri?? Tatizo lako wewe unamawazo yakibeberu hua hamufirii maisha ya wengine Hasa watu WA chini munafkiria vp maisha yenu wachache yatakua mazuri. Tanzania ni miongoni mwa nchi ifikapo 2030 tunaweza kufika 70m unafkiri kuna usafiri gani ambayo unaweza kuchukua watu zaidi ya 200 kwa muda mmoja zaidi ya reli na meli?? Leo unataka port of dar iwe shindani east Africa hio efficiency utaitoa wapi kama huna reli yakusafisha mzigo mkubwa na kwa gharama ya chini ili wateja washawishike kutumia port of dar... Unless unambie ww hujui uchumi then ntakuelewa 😅😅😅
Kipi hicho ambacho hakuna maintenance cost? Sgr na ndege Hazina ? Acha vichekesho.

Twende taratibu,Mimi Niko kwenye sekta ya Barabara naongea Kwa uzoefu.Barabara Kuu za Tanzania (TanRoads) zinajengwa Kwa life span ya miaka 20-25 ambapo hakuna Barabara kuu yeyote ambayo imejengwa Kwa viwango vizuri ikashindwa kustahimili life span yake.

Sasa kinachopelekea Barabara kuchoka haraka ni Kwa vile tuna network ya paved roads chache kushinda mahitaji.Bus linaenda Songea/Dar linalazimika kupita Makambako badala ya kupita hapo Kilimo.Bus linatoka Mbeya kwenda Arusha linalazimika kupita Dodoma badala ya Singida,Unatoka Sumbawanga unaenda Mwanza unalazimika kupita mpanda wakati Kuna njia shortcut ipo ,unatoka Mpanda unataka kwenda Mwanza mpaka ukapite Nzega,unatoka Morogoro unataka kwenda Mtwara hadi uje Dar nk

Laiti kama network zote za Barabara zingekuwa zimefinguliwa vizuri na njia zote kuu Zina lami na zile busy kuwa dual carriage way hakuna Cha gharama zozote za Matengenezo zingeletwa na uzito wa magari Bali Matengenezo yangetegemea zaidi uharibifu wa mvua.

On top of that Barabara zingeifungua uchumi mkubwa ambao Sasa ndio baadae ungejitaji reli Kwa sababu reli Zina maana kama Kuna bulk goods ,Sasa nyie na akili zenu za kuku mnaanza kujenga reli kabla ya Barabara 😆😆

Mkoloni alijenga reli ikiwa tayari kuna mzigo wa kusafirisha na sio kusubiria na hakujenga Barabara Kwa sababu hakuwa na interest ya kuleta maendeleo maana Barabara zinafufua Uchumi Kwa haraka.

Tazara Iko wapi? Mlijenga Kwa mbwembwe kama hii Sgr yenu ya Sasa,nini mumeipata? Si hiyi inaoza huko?

Ni hivi tumeingiliwa sio tuu kwenye Sgr Bali na kwenye ndege ,next time hatutakiwi kurudia haya makosa,Reli na miradi mingine ambayo inahitaji pesa nyingi ijengwe Kwa PPP Ili tugawane gharama na sekta binafsi.

Angalia hii ramani hapa,line ya rangi nyekundu ni existing roads na ni mavumbi tupu wakati hizo kijani zinatakiwa kufunguliwa upya.

Unadhani Uchumi ungekuaje ikiwa km 15,000 za lami zingejengwa? Barabara ndio uchumi , network ikiimarishwa Hakuna population ya kuhitaji reli.Sgr zingeanza kujengwa baada ya uchaguzi kuvuka Dola Bilioni 100 huko sio huu wa 70👇👇
Screenshot_20240709-061801.jpg

Note: Kajifunze Ivory Coast ilichofanya kwenye Barabara ndio Tzn ilitakiwa kufanya sio kuiga ujinga wa Kundustan
 
Acha uongo😂😂🤣.

Ingekuwa aim Yao ni connection na Tz then mbona waanze kujenga SGR Yao from Malaba which is Kenyan border?🤣🤣😂
Possibility bado ipo! Mimi sioni uwezekano wa Kenya kujenga kipande cha Naivasha Malaba bila ya msaada wa Mchina na kama Uganda wameamua kujenga na Yepi Merkezi, China haita-finance Kenya’s Naivasha-Malaba SGR
 
Kipi hicho ambacho hakuna maintenance cost? Sgr na ndege Hazina ? Acha vichekesho.

Twende taratibu,Mimi Niko kwenye sekta ya Barabara naongea Kwa uzoefu.Barabara Kuu za Tanzania (TanRoads) zinajengwa Kwa life span ya miaka 20-25 ambapo hakuna Barabara kuu yeyote ambayo imejengwa Kwa viwango vizuri ikashindwa kustahimili life span yake.

Sasa kinachopelekea Barabara kuchoka haraka ni Kwa vile tuna network ya paved roads chache kushinda mahitaji.Bus linaenda Songea/Dar linalazimika kupita Makambako badala ya kupita hapo Kilimo.Bus linatoka Mbeya kwenda Arusha linalazimika kupita Dodoma badala ya Singida,Unatoka Sumbawanga unaenda Mwanza unalazimika kupita mpanda wakati Kuna njia shortcut ipo ,unatoka Mpanda unataka kwenda Mwanza mpaka ukapite Nzega,unatoka Morogoro unataka kwenda Mtwara hadi uje Dar nk

Laiti kama network zote za Barabara zingekuwa zimefinguliwa vizuri na njia zote kuu Zina lami na zile busy kuwa dual carriage way hakuna Cha gharama zozote za Matengenezo zingeletwa na uzito wa magari Bali Matengenezo yangetegemea zaidi uharibifu wa mvua.

On top of that Barabara zingeifungua uchumi mkubwa ambao Sasa ndio baadae ungejitaji reli Kwa sababu reli Zina maana kama Kuna bulk goods ,Sasa nyie na akili zenu za kuku mnaanza kujenga reli kabla ya Barabara 😆😆

Mkoloni alijenga reli ikiwa tayari kuna mzigo wa kusafirisha na sio kusubiria na hakujenga Barabara Kwa sababu hakuwa na interest ya kuleta maendeleo maana Barabara zinafufua Uchumi Kwa haraka.

Tazara Iko wapi? Mlijenga Kwa mbwembwe kama hii Sgr yenu ya Sasa,nini mumeipata? Si hiyi inaoza huko?

Ni hivi tumeingiliwa sio tuu kwenye Sgr Bali na kwenye ndege ,next time hatutakiwi kurudia haya makosa,Reli na miradi mingine ambayo inahitaji pesa nyingi ijengwe Kwa PPP Ili tugawane gharama na sekta binafsi.

Angalia hii ramani hapa,line ya rangi nyekundu ni existing roads na ni mavumbi tupu wakati hizo kijani zinatakiwa kufunguliwa upya.

Unadhani Uchumi ungekuaje ikiwa km 15,000 za lami zingejengwa? Barabara ndio uchumi , network ikiimarishwa Hakuna population ya kuhitaji reli.Sgr zingeanza kujengwa baada ya uchaguzi kuvuka Dola Bilioni 100 huko sio huu wa 70👇👇View attachment 3059166
Hebu twende taratibu, reli inaweza chukua for a 100 yrs kama itakua well maintained, na reli inapunguza msongamano WA magari na watu njiani, alaf unasema lifespan ya Barabara ni 25 yrs hio unaongelea Africa au Europe, Barabara tunazojenga Sisi hata 5 yrs hazitoboi kwa quality, na kuna several maintenance between 5yrs, hata ungekua kwenye sekta gani mzee Barabara Sisi tunaziona kwa macho sio kuhadithiwa

Hakuna ambae anakata Barabara lakini tutaongelea nchi ambayo 2030 Una watu million 70, swali je utaweza kuwapitisha barabarani wote, Kwanza Huyo uchaguzi WA mazingira na Barabara zenyewe zitakua kwenye Hali gani

Na moja ya faida ya reli ni kupunguza cost ya road maintenance, ukienda Europe, Japan, china. Etc wanatumia Sana train unafkiri ni kwasababu gani?? Hawana akili au??

Mkoloni alijenga reli kwa manufaa yake na kipindi hicho anajenga alikua atasafirisha bidhaa nyingi kwa wakat mmoja hakua mjinga, kwa SASA dunia inakwenda Kasi ndio maana unaona na Sisi tumeingia kwneyw mifumo wa SGR kwasababu SGR inafaida nyingi na kubwa kushinda meter gauge,

Tatizo lako ww akili yako inaweza kibeberu zaidi hutaki kabisa ujamaa, hata hao mabeberu wanategemea reli kwenye nchi zao, lazma uwe na miundombinu yote ya usafirishaji na Hasa reli ni kwasababu inabeba watu na mzigo mingu kwa wakat mmoja na hata cost inapungua Sana ya usafirishaji.
 
Possibility bado ipo! Mimi sioni uwezekano wa Kenya kujenga kipande cha Naivasha Malaba bila ya msaada wa Mchina na kama Uganda wameamua kujenga na Yepi Merkezi, China haita-finance Kenya’s Naivasha-Malaba SGR
Kaka hio ni ndoto ya alinacha hakuna mpango wowote so far, kipindi wanajenga kwenda naivasha walikua na mpango huo 5 yrs 7yrs ago na hakuna walichofanikiwa mchina kashaona kua hakuna biashara ya kurudisha pesa yake hata kwa miaka 50 ijayo ikiwa mpaka Leo hii hawajapata faida hata thumni 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hebu twende taratibu, reli inaweza chukua for a 100 yrs kama itakua well maintained, na reli inapunguza msongamano WA magari na watu njiani, alaf unasema lifespan ya Barabara ni 25 yrs hio unaongelea Africa au Europe, Barabara tunazojenga Sisi hata 5 yrs hazitoboi kwa quality, na kuna several maintenance between 5yrs, hata ungekua kwenye sekta gani mzee Barabara Sisi tunaziona kwa macho sio kuhadithiwa

Hakuna ambae anakata Barabara lakini tutaongelea nchi ambayo 2030 Una watu million 70, swali je utaweza kuwapitisha barabarani wote, Kwanza Huyo uchaguzi WA mazingira na Barabara zenyewe zitakua kwenye Hali gani

Na moja ya faida ya reli ni kupunguza cost ya road maintenance, ukienda Europe, Japan, china. Etc wanatumia Sana train unafkiri ni kwasababu gani?? Hawana akili au??

Mkoloni alijenga reli kwa manufaa yake na kipindi hicho anajenga alikua atasafirisha bidhaa nyingi kwa wakat mmoja hakua mjinga, kwa SASA dunia inakwenda Kasi ndio maana unaona na Sisi tumeingia kwneyw mifumo wa SGR kwasababu SGR inafaida nyingi na kubwa kushinda meter gauge,

Tatizo lako ww akili yako inaweza kibeberu zaidi hutaki kabisa ujamaa, hata hao mabeberu wanategemea reli kwenye nchi zao, lazma uwe na miundombinu yote ya usafirishaji na Hasa reli ni kwasababu inabeba watu na mzigo mingu kwa wakat mmoja na hata cost inapungua Sana ya usafirishaji.
Hata ingechukua miaka buku ila Hadi Sasa hivi leta faida ya reli zilizopo maana Zina miaka Mingi ya hasara.

Mwisho Kila km 1 ya Barabara ikikamilika on the spot inaanza kuzalisha,reli ni vipi? 😆😆😆😆😆

Mnatumia Nguvu sana ku justify makosa ya kimaamuzi 🤣🤣

Nimekwambia na narudia mtandao wa Barabara ukiimalishwa hakuna Cha Msongamano Wala nini acha kujifariji.
 
Kaka hio ni ndoto ya alinacha hakuna mpango wowote so far, kipindi wanajenga kwenda naivasha walikua na mpango huo 5 yrs 7yrs ago na hakuna walichofanikiwa mchina kashaona kua hakuna biashara ya kurudisha pesa yake hata kwa miaka 50 ijayo ikiwa mpaka Leo hii hawajapata faida hata thumni 🤣🤣🤣🤣🤣
Possibility ipo ya kupata mkopo lakini hayo masharti sasa yatakuwa unbearable na hivi sasa credit rating yao ilivyoshuka itakuwa balaa.

Mchina yeye anatoa mkopo ali mradi ukubali riba kubwa na masharti mengine ya kinyonyaji kama collateral na wewe mkopaji ukafie mbele kwa mbele na hawa jamaa wanavyoogopa kuzidiwa na Tanzania watachukua tuu ili wakalalamike mbele kwa mbele 🤣🤣🤣
 
Kwenye stesheni na baadhi ya maeneo fulani, huwa wanafanya marshaling (locomotive haifanyi uturn). kama unachosema ni kweli basi tupatie picha ya treni hii ya abiria ikivutwa na vichwa viwili porini.

Kadogosa alisema kwa speed ya 160km/hr, hizi locomotive zinavuta mabehewa 14-18 bila shida ila zitaweza kuwa na mabehewa zaidi ya hayo kwa speed ndogo.
Huyo ni kichaa. Treni ya Dodoma ni behewa 14 na inatumia kichwa kimoja. Usipoteze muda huyo ni mwehu.
 
Kumbuka hiyo ni electrified ya kwanza EA changamoto kama hizo ni kawaida unless uwe mpumbavu na mwenye wivu kama wewe, bado tunaendelea kujifunza, waafrika tumechelewa sanaaa.
Hakuna chakujifunza hapo. Nyinyi mliibiwa hadharani without even blinking of an eye😂😂🤣🤣.

Yani trains mbili zinakwama within a day? Tatu within 2 days😂😂🤣🤣🤣
 
Huu ndio upuuzi gani sasa mbona hii imekaa kama mfano wa underpass? Amakweli mmezoea vitu jua kali dah 😁😁😁

Kwanza angalia ukuta ulivyopindapinda na quality ya hiyo infrastructure inafikirisha sana too sad kwa walipa kodi pole yenu 😁
Unaezatuambia nini kuhusu SGR trains za Tanzania kukwama Mara kwa mara?😂😂😂🤣🤣
 
Back
Top Bottom