Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
Kaka ogopa consumption economy. Ikifika hatua unachukua commercial loans kulipa mishahara na kununua chakula you are finished.Mlikuwa hamuishi uhalisia. Sasa kama uchumi wenu uko juu iwaje hata mishara ni shida na sasa mpaka mawaziri na marais wastaaf wamekatwa maokoto yao?
Chanzo cha maandamano yote ni bei ya mkate 🤣🤣🤣Hiyo inaitwa patriotic ya kindezi sana. Education system yao ndio imewafanya wawe wajinga no 1 hapa duniani.
Just imagin kwa sasa wanaandamana, ukiwauliza kwanini mnaandamana #RUTOMUSTGO. Ni kama Mazombie mzungu atakachowaambia wanafanya
Ruto atabadilisha Mawaziri mpaka basi. 😀 😀 😀 Nimesikia wamesema next week wanaandamana tena.Chanzo cha maandamano yote ni bei ya mkate 🤣🤣🤣
Sikulaumu comprehension yako ndogo.You're even dumber than I initially thought. Geza Ulole kuja uokote hii ng'ombe yako.🚮🚮🚮
Akijibu ni tag plz 🤣🤣🤣😂😂😂 hiyo 100 umeipata wapi tena? Anyways, so which train is faster between these Two? 😂😂.
Hawa nyangau hawana chochote ni agenda ya ukabila tuu chini ya carpet.Ruto atabadilisha Mawaziri mpaka basi. 😀 😀 😀 Nimesikia wamesema next week wanaandamana tena.
Hiyo 100kph imetoka wapi tena sio wewe a few minutes ago ulipost 137kph vs 92kph?Bullet train 137kph
Diesel 100kph
😬😬😂😂😂😂
Embu tupigie mahesabu ulivyo derive hiyo average speed ya 100kph tucheke kidogoHio ndio average speed kwenye kila treni.
Same applies to our train au hiyo ni reseve ya KR trains tuu?Unaingia kwenye mfumo, kuna ushahidi inakimbia zaidi ya 120kph. Kila trip ni Tofauti na kile kilicho andikwa kinaweza zidi au kupungua
Bullet train 137kph
Diesel 100kph
😬😬😂😂😂😂
Mwambie kuwa 140kph ni sawa na 39m/s.Kajitia kidole mwenyewe 🤣🤣🤣
Haya ukifanya round off unapata 140kph vs 90kph 😁
Haya mambo mnayakuza na mnayaongea kwa mihemko.Huu mtindo wa msururu wa magari mama kamuiga Magufuli!
Mwanzilishi JPMHaya mambo mnayakuza na mnayaongea kwa mihemko.
Hebu ngoja sasa tufanye calculation
* President is a head of state anatakiwa kulindwa kwa namna zote. Hili tunakubaliana sote
* Viongozi hawawezi kwenye msafara hawawezi kutembelea IST. Na hili tunakubaliana sote
* Je, Raisi anatakiwa kwenye msafari awe na Magari ya state house mangapi?
NGOJA TUFANYE HIVI: Hayo magari hayakuzidi 80.
1. State House Cars - 6
2. Police Cars - 4
3. Mawaziri - 10
4. Wakuu wa Mikoa na wa wilaya - 10
5. DED - 6
6. Viongozi wa Dini na NGO - 10
7. Wajumbe wa NEC CCM - 6
8. Wabunge - 10
9. Wakandalasi wa miradi mbalimbali - 10
10. Wadau na wakereketwa wa Chama - 20
Hebu piga hesabu hapo.
Bado sijawaweka maafisa wa Chama na Serikali. Bado sujawaweka waandishi wa habari.
Mzee unakuwa too emotional than using brain. Maria Sarungi anawalisha matango pori.
Usibishane na mtu ambaye anaongea kitu ambacho hajawahi kukishuhudia toka azaliwe anacha nae, aje kwa ganda la ndizi la EACNimepanda mimi haikutikisika mpaka nafika Dar kutokea Morogoro.
Toka lini continuous welded rail ikaleta mtikisiko wa locomotive inapotembea juu yake!?
Ona hili nyang'au.