Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Njoo inbox unitumie picha yako kwanza nikuthaminishe isije ikawa nabishana na pisi mbovu.Hivi huwa mnafuatilia mjadala muelewe kinachoongelewa ama mnaangukia tu na ushindani wa kijinga? Hamuoni aibu RRONDO aliyekuwa anajibiwa amenyamaza ni ninyi bado mnapiga kelele eti 'kwetu pia zipo'?