ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mbona anaongea kibwabwa namna hiyo?Nyang'au wameamua kuharibu nchi yao,halafu dr ni gasho au nimeona vibaya?maana kundustan ni upinde supporter
Kashampenda mgonjwa anajishebedua! Bdae utaskia mtu mwali kawekwa kinyumba!Nyang'au wameamua kuharibu nchi yao,halafu dr ni gasho au nimeona vibaya?maana kundustan ni upinde supporter
Tatizo kuu la Kenya limeanzia kwenye ardhi watu hawana ardhi kabisa wanategemea ku rent houses na kununua chakula na ajira zenyewe hazipo. Unafikiria wataishi vipi lazima akili iruke na ustaarabu ukutoke.Dah pole sana kwa huyo mama, inauma sana. Lkn tatizo kuna sehemu nmeona huko Kenya mpaka watoto wanatukana serikali matusi mazito mazito aiseee, nchi gani hii kila mtu hana adabu? Na ndiyo maana mabalaa hayaondoki Kenya. Nchi ya kishenzi sijawahi kuona.
🤣🤣🤣 hili neno ni lazamani sana, mara ya mwisho kuliskia ni kipindi nikiwa mtoto mdogo.Kashampenda mgonjwa anajishebedua! Bdae utaskia mtu mwali!
Wao walikuwa mbali na Sgr,input Yao ni insignificantBado Kikwete na Mwinyi express hizo nyingine utasikia Sokoine, salim ahmed salim, CD Msuya etc 🤣🤣🤣🤣
Njoo inbox nikupe shule kdg 🤪Mbona hukuuliza rafiki wako coodip1 hilo swali?
Their economy is best on paper.Sema jamaa kaongea ukweli.
Pesa inajulikana ina thamani ila maisha matatizo.😂😂😂😂
Tulitarajia kwa ukubwa wa uchumi wa Kenya basi watoe ruzuku katika mambo mengi ikiwemo mafuta,ila mafuta yapo juu bado.
Hata dawa za TB ziliwashinda Tanzania tukawaletea.
Aiseee hapana.
Naona shughuli ya Dar-Dom kwa masaa matatu inawadia.Na Mjomba Magu katua. Inatosha sasa majina ya wanasiasa, set mpya ziitwe majina yenye kuhenzi nchi yetu kama wameamua hii ndio iwe trend.
View attachment 3032182
Nilikuwa na uhakika 200% lazima yatagongwa tu, hayajui mpira hayo majinga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jana hawa nyang’au wamebondwa na Comoro mbili bila. Ndio maana hawajaposti matokeo ya mechi humu😎😎
Hivi huwa mnafuatilia mjadala muelewe kinachoongelewa ama mnaangukia tu na ushindani wa kijinga? Hamuoni aibu RRONDO aliyekuwa anajibiwa amenyamaza ni ninyi bado mnapiga kelele eti 'kwetu pia zipo'?Wacha kumtusi ndugu yetu mtu mzima mlevi, Mobile money na masuala ya kufanya transfer pesa kutoka bank kuja kwa simu or vise versa ni habari ya kitambo sana hapa Tz.. sio habari mpya kama huyo mpumbavu mwenzako anavyodai.
Kunyaland ni nchi ya mabwabwaMbona anaongea kibwabwa namna hiyo?
Za chini ya kapeti hayo maandamano yalipangwa kiumakini sana na ruto mwenyewe ili kudustan ipate sympathetic flan toka eurobond na IMF ndio maana polisi wako fair 80%,jamaa wamekaza kuonea huruma na maandamano sasa hivi yanaelekea kuwa machafukoHali ni mbaya andamaneni tuu kwakweli you have my support.
Ila sweetie Rhaenyra Targaryen msimshirikishe asije mtoto mzuri akapata ngeu bure 😁
![]()
US warns Kenya’s loan costs will hit education, health
The ballooning debt servicing expenses have in recent years overtaken expenditures on salaries and wages, administration, operation, and maintenance of public offices for the national government.www.businessdailyafrica.com
Dr mchicha mwiba,TZ bwege kama huyo apati ajira kokoteMmmh huyu doctor kama ndumbangwe hivi.