Capt Richie
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 1,503
- 3,817
Mukuru Slum upgrade
Tuna discuss na Kima humu mkuu.
Kwahiyo ukienda hotelini unasema nataka kula farm fish sio? 🤣🤣🤣Bro....unaona hapo imeandikwa ''for commercial production'' na bado unapost. Hivi unajua maana yake? Hao salmon unaoongelea wamefugwa kwenye farms. Those are farm fish, not seafood.
We kima hii huduma ipo Tanzania miaka mingi sana ishapita, sikutegemea uongee hv, wallahi tumewaacha mbali sana.False. Kenya is a world leader in mobile money yet banking increased with introduction of mobile money. Siku hizi sii lazima Mkenya aende Bank. Ukitumiwa doo kwa MPESA unazituma hapo hapo kwa bank account na ukitaka kuzitoa kwa Bank sii lazima uende Bank ama ATM, unazitoa hapo hapo hadi MPESA. MPESA imefanya wengi ambao hawakuwa na Bank account wafungue Bank account. Kitambo walioajiriwa kazi na walio na biashara kubwa pekee ndio walikua na bank account. Siku hizi hata yule jamaa wa kushona viatu ana bank account, ukimtumia pesa kwa MPESA anazituma kwa Bank Account.
Mbona Majaliwa juzi kasema usafiri kwa watu wa kawaika kwenye joka utakua ni 50k Dar-Dom.?Kuna uzi humu watu walikuwa wanasema ile 100,000/- ya Dar Dom ni ghali wanasema treni huko majuu ni rahisi kuliko usafiri wowote. Nikawauliza wapi huko coz nijuavyo treni London to Manchester ni £100, kwa bus ni £15 at the same time ndege London to Mallorca Spain ni kama £50 tu.
Naomba mtu aweke ile picha yuko na babaake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe kweli ni kimbwelu 😂😂😂 mwenzako kasema yeye anakula milo mitano everyday, wew ulivyo mpumbavu umekuja na comeback ya breakfast uliyonunuliwa leo eti unajipiga kifua kwamba the food is too expensive u can even buy him all his 5 meals a day, okay the question is wewe unakula hivyo kila siku.? 🤣🤣🤣 je unajua hiyo milo mitano anakula coodip1 Inamgharimu sh ngapi kila siku.? 😂😂😂 wewe ni hanangwa.
Nchi ishajifia ile 😃😃Wakenya Tanzania sio level yenu kwa sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😍😍🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥👉🇰🇪👉💩💩💩
Wapi South Korea, wapi Norway, wapi Sweden, wapi Portugal, wapi Australia, wapi Belgium, wapi wapi....... Msenge wewe nenda ka edit tena, na huu ufala ndio unaofanya muwe failed state for ever.Tanzania can not be found in such statistics
View attachment 3031122
100,000 na 120,000 ni Express business and royal class respectively.Mbona Majaliwa juzi kasema usafiri kwa watu wa kawaika kwenye joka utakua ni 50k Dar-Dom.?
Kazi ipo.Who talked about fish? The original point was, there is no GMO seafood. You can't go to a restaurant and ask for seafood and get served something that is GMO. Same way you can't go to a restaurant and ask for game meat and get served GMO. It doesn't mean Antelopes can't be modified, it simply means ''Game meat'' is not modified. Usifikirie kama huyo Coodip wako.
Unajua watu wanachanganya nauli za Dodoma na Makutupora. Discrepancy ndio inaanzia hapo.Mbona Majaliwa juzi kasema usafiri kwa watu wa kawaika kwenye joka utakua ni 50k Dar-Dom.?
Hizo vitu nilizomark hutozipata kwa high end restaurant. Ni dhahiri hujawai ingia high end restaurant. Hii hapa ni restaurant ya kawaida sana unaweza ipata popote pale.Unaongea sana heb ngoja nii extended hii picha uone hiyo venue vile inakaa 🤣🤣..View attachment 3031632
Kwani ile chakula kwenye sahani ilikuwa na sea weed?🤣🤣🤣Kazi ipo.
Wacha nikuulize swali, ushawai kula GMO octopus? Ushawai kula GMO shrimp? Ushawai kula GMO squid? Alafu hivi, mwenzako amepigwa za uso akapostiwa seafood ya Tshs. 80k baada ya kumsema mwengine eti hana hela ya chakula na hapo jibu lake ni hiyo seafood ni GMO, huoni kama hiyo ni sour grapes incident? Mbona hujamkashifu kwamba sungura kakosa mizabibu kasema chungu? Jiulize hayo maswali utaona unafiki wako ulipo. Sio lazima unijibu ila najua utauona unafiki wako.What does GMO stand for? Genetically modified organisms. Seafood or fish aren't organisms? Their DNA can not be modified?
Ila kile chakula kimewaumiza sana. Mzee wa milo mitano. 😂 😂Kwani ile chakula kwenye sahani ilikuwa na sea weed?🤣🤣🤣