Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu kule kwao ni kama wamekariri mpesa tu. 😂😂😂
Wakati Tanzania kuna,
Tigopesa
T-Pesa
Easy pesa
Halo pesa
Airtel money
Azam pesa
Hayajui hayo, yani kiufupi sisi huko kwenye masuala ya mobile money wala hawatuwezi kamwe, kwasababu almost every single Tanzanian (except watoto wachanga) anatumia huduma hizo tena kuna mitandao kibao, wao wako hapa kutupigia kelele na Mpesa..
 
Daraja refu zaidi Africa mashariki tayari limeshaanza kutoa taswira yake. 👇
wizara_ya_ujenzi-20240703-0002.jpg
wizara_ya_ujenzi-20240703-0008.jpg
wizara_ya_ujenzi-20240703-0001.jpg
wizara_ya_ujenzi-20240703-0003.jpg
the longest cable stayed bridge in the region. 3.2 km long. CC The best 007 njoo uwasumbue mkuu. 🤣🤣
 
Ona wanavyo tap tapa, si walijifanya wajanja na hiyo northern corridor. Sasa wanataka kujikomba kuingia na mlango wa nyuma.
Na Sisi hatuna hiyana, tutawaruhusu, watatulipa, watu wetu kwenye hiyo miji watafaidika, watalipa mizani, pesa zetu zitaongezeka!!
Kwa upande wangu tungewakaanga watumie hiyo route yao ili route ya centra ipate mizigo zaidi na kuikaanga Mombasa Port .
 
Back
Top Bottom