Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

With Mobile mobile service improvements, number of bank accounts in Tz and Africa in general will keep dropping. People prefer mobile money coz of easy access.
False. Kenya is a world leader in mobile money yet banking increased with introduction of mobile money. Siku hizi sii lazima Mkenya aende Bank. Ukitumiwa doo kwa MPESA unazituma hapo hapo kwa bank account na ukitaka kuzitoa kwa Bank sii lazima uende Bank ama ATM, unazitoa hapo hapo hadi MPESA. MPESA imefanya wengi ambao hawakuwa na Bank account wafungue Bank account. Kitambo walioajiriwa kazi na walio na biashara kubwa pekee ndio walikua na bank account. Siku hizi hata yule jamaa wa kushona viatu ana bank account, ukimtumia pesa kwa MPESA anazituma kwa Bank Account.
 
Qatar kuna matajiri kuliko hii list nzima na wanaweka pesa kwenye makabati.
Kama kuwa na bank account ndio utajiri basi pole.
Qatar 88% ya wanaoishi huko sio wananchi bali wanafanyakazi kutoka Indian Subcontinent na Africa na ni mostly hao ndio hawana Bank Accounts maanake wakilipwa wanatuma pesa nchi zao immediately. Utakuwa huna akili kudhani mQatari millionea ama billionae atakosa Bank Account aweke pesa zake kwa Kabati.
 
False. Kenya is a world leader in mobile money yet banking increased with introduction of mobile money. Siku hizi sii lazima Mkenya aende Bank. Ukitumiwa doo kwa MPESA unazituma hapo hapo kwa bank account na ukitaka kuzitoa kwa Bank sii lazima uende Bank ama ATM, unazitoa hapo hapo hadi MPESA. MPESA imefanya wengi ambao hawakuwa na Bank account wafungue Bank account. Kitambo walioajiriwa kazi na walio na biashara kubwa pekee ndio walikua na bank account. Siku hizi hata yule jamaa wa kushona viatu ana bank account, ukimtumia pesa kwa MPESA anazituma kwa Bank Account.
False according to you. Yaani mshona viatu atumiwe hela na mpesa apeleke bank halafu aitoe tena? Anapenda kukatwa hela mara mbili mbili? Watu wa chini hawana haja ya benki, mobile money inawatosha kwanza hela yenyewe ya kuweka bank watatoa wapi?
 
Young man, what I ate for lunch today alone can buy your low quality 5-meals-a-day for a whole week. This here is Seafood Risotto that I had for lunch. It is a Japanese-Peruvian cuisine of shrimp, Octopus, squid, cheese and creamed rice cooked with broth. it cost me KES 3250, hiyo ni Tshs. 66,766. I took some pineapple smash before that, cost me another KES 700, that's Tshs. 14380 leading to a total of Tshs. 81,146. For breakfast I had sweet potatoes (4 slices), tea, an egg, a sausage and an orange. For supper I'll have chicken gizzard, pigweed, ugali and two bananas. That's a full balanced diet. Not mere stuffing your face with excess low quality food like it's a flex. Ukiona tunakucheka kwa kujisifia kula tonnes of low quality food usidhani ni utani tu. Tunakuona mshamba sana.
View attachment 3031309
Wewe kweli ni kimbwelu 😂😂😂 mwenzako kasema yeye anakula milo mitano everyday, wew ulivyo mpumbavu umekuja na comeback ya breakfast uliyonunuliwa leo eti unajipiga kifua kwamba the food is too expensive u can even buy him all his 5 meals a day, okay the question is wewe unakula hivyo kila siku.? 🤣🤣🤣 je unajua hiyo milo mitano anakula coodip1 Inamgharimu sh ngapi kila siku.? 😂😂😂 wewe ni hanangwa.
 
False according to you. Yaani mshona viatu atumiwe hela na mpesa apeleke bank halafu aitoe tena? Anapenda kukatwa hela mara mbili mbili? Watu wa chini hawana haja ya benki, mobile money inawatosha kwanza hela yenyewe ya kuweka bank watatoa wapi?
Hiyo jamaa ni punda, inaongea kwa kutumia mavi. 🤣🤣
 
False according to you. Yaani mshona viatu atumiwe hela na mpesa apeleke bank halafu aitoe tena? Anapenda kukatwa hela mara mbili mbili? Watu wa chini hawana haja ya benki, mobile money inawatosha kwanza hela yenyewe ya kuweka bank watatoa wapi?
Sending money from MPESA to bank account is very cheap. It was actually free until Zakayo came in. For those who have linked their accounts to MPESA it's actually still free. Again, the cobbler won't be sending 50, 100 or 200 shillings everytime a customer pays him. He will wait until he hits, say 5000, before he sends. It's interesting how these things sound unattainable to you guys when they've been a reality in Kenya for over 10 years now.
 
Nsni kakwambia hivyo vitu hakuna Tz.? Kutuma pesa kutoka kwenye mtandao wa simu kwenda Bank or vise versa, ni kitu kigeni Tz.? 🤣🤣🤣 au umeendeleza kuleta upumbavu wako
?
 
Young man, what I ate for lunch today alone can buy your low quality 5-meals-a-day for a whole week. This here is Seafood Risotto that I had for lunch. It is a Japanese-Peruvian cuisine of shrimp, Octopus, squid, cheese and creamed rice cooked with broth. It cost me KES 3250, hiyo ni Tshs. 66,766. I took some pineapple smash before that, cost me another KES 700, that's Tshs. 14380 leading to a total of Tshs. 81,146. For breakfast I had sweet potatoes (4 slices), tea, an egg, a sausage and an orange. For supper I'll have chicken gizzard, pigweed, ugali and two bananas. That's a full balanced diet. Not mere stuffing your face with excess low quality food like it's a flex. Ukiona tunakucheka kwa kujisifia kula tonnes of low quality food usidhani ni utani tu. Tunakuona mshamba sana.
View attachment 3031309
So thats your everyday food budget?Kwamba everyday you spend Tzs 80,000 on meals? You are doing great.
 
Wewe mpumbavu NairobiWalker njoo ujifunze bongo hii 🤣🤣 kimbwelu wew
Screenshot_20240702_140331_Messages.jpg
hizi ni vitu za kawaida huku..
 
So thats your everyday food budget? Kwamba everyday you spend Tzs 80,000 on meals? You are doing great.
Nope, neither did I say that. Stop reasoning like Shamba boy.
If you bothered to read what I was responding to, you wouldn't ask this question but you're more concerned in responding negatively to a Kenyan than logic. Your friend insinuated that I don't overeat because I can't afford food and and coincidentally, I was having lunch at a cost that could feed him for a week or more. I do actually eat anywhere, including kibandaski (what you guys call mama ntilie) as long as the food is clean and balanced. I can hope in Norfolk hotel and casually have a bite there if I am in that area of town. Tell your countryman that worrying about food is a sign of poverty.
 
Nope, neither did I say that. Stop reasoning like Shamba boy.
If you bothered to read what I was responding to, you wouldn't ask this question but you're more concerned in responding negatively to a Kenyan than logic. Your friend insinuated that I don't overeat because I can't afford food and and coincidentally, I was having lunch at a cost that could feed him for a week or more. I do actually eat anywhere, including kibandaski (what you guys call mama ntilie) as long as the food is clean and balanced. I can hope in Nofolk hotel and casually have a bite there if I am in that area of town. Tell your countryman that worrying about food is a sign of poverty.
Its obvious you didnt see ?? marks.
 
Wewe kweli ni kimbwelu 😂😂😂 mwenzako kasema yeye anakula milo mitano everyday, wew ulivyo mpumbavu umekuja na comeback ya breakfast uliyonunuliwa leo eti unajipiga kifua kwamba the food is too expensive u can even buy him all his 5 meals a day, okay the question is wewe unakula hivyo kila siku.? 🤣🤣🤣 je unajua hiyo milo mitano anakula coodip1 Inamgharimu sh ngapi kila siku.? 😂😂😂 wewe ni hanangwa.
Aren't you the same one who shared a plate of shawarma in some dingy place here?
 
Back
Top Bottom