Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,152
- 9,571
That's cheap frozen foods. Try again.Young man, what I ate for lunch today alone can buy your low quality 5-meals-a-day for a whole week. This here is Seafood Risotto that I had for lunch. It is a Japanese-Peruvian cuisine of shrimp, Octopus, squid, cheese and creamed rice cooked with broth. It cost me KES 3250, hiyo ni Tshs. 66,766. I took some pineapple smash before that, cost me another KES 700, that's Tshs. 14380 leading to a total of Tshs. 81,146. For breakfast I had sweet potatoes (4 slices), tea, an egg, a sausage and an orange. For supper I'll have chicken gizzard, pigweed, ugali and two bananas. That's a full balanced diet. Not mere stuffing your face with excess low quality food like it's a flex. Ukiona tunakucheka kwa kujisifia kula tonnes of low quality food usidhani ni utani tu. Tunakuona mshamba sana.
View attachment 3031309
Teargas popote ulipo kama uko hai tuma salamu kupitia wadwanzi wenzako huku. Tumemiss ubishi wako wa kukomaza shingo so futuhi zimepungua humu ndani😁Inawezekana maandamano ya Gen z yameondoka naeeargas
Kijana amekua ameongea ukweli wake usimpinge sana apewe maua yake kwa kuongea ukweli ni wakenya wachache sana wana ujasiri wa kunyoosha maelezo kama yeyeUazungumzia zile takataka za Kenya.? 🤣🤣🤣
Huyo anakula cheap gmo food mimempuuza tuu.Wewe kweli ni kimbwelu 😂😂😂 mwenzako kasema yeye anakula milo mitano everyday, wew ulivyo mpumbavu umekuja na comeback ya breakfast uliyonunuliwa leo eti unajipiga kifua kwamba the food is too expensive u can even buy him all his 5 meals a day, okay the question is wewe unakula hivyo kila siku.? 🤣🤣🤣 je unajua hiyo milo mitano anakula coodip1 Inamgharimu sh ngapi kila siku.? 😂😂😂 wewe ni hanangwa.
Hii sakata ya msosi imekuchora vibaya sana na umebaki na vinenoHuyo anakula cheap gmo food mimempuuza tuu.
Mvizie jioni akirudi home uangalie anakaa wapi utacheka anapoishi 🤣🤣🤣So thats your everyday food budget?Kwamba everyday you spend Tzs 80,000 on meals? You are doing great.
Nyie mnaolalamika Tz hawataki kutuuzia chakula hiyo si kuwa na worry ya kukosa chakula? Halafu jiulize motive iliyojificha kwa Gen Z ni nini kama sio hofu ya kutokula tumeona supermarkets ngapi mmevamia na yule mwamba wa kibera akijipigia msosi wa bunge live on camera 🤣🤣🤣Nope, neither did I say that. Stop reasoning like Shamba boy.
If you bothered to read what I was responding to, you wouldn't ask this question but you're more concerned in responding negatively to a Kenyan than logic. Your friend insinuated that I don't overeat because I can't afford food and and coincidentally, I was having lunch at a cost that could feed him for a week or more. I do actually eat anywhere, including kibandaski (what you guys call mama ntilie) as long as the food is clean and balanced. I can hope in Norfolk hotel and casually have a bite there if I am in that area of town. Tell your countryman that worrying about food is a sign of poverty.
Kwa hivo main roads mnapiga picha alafu mitaani mnakuwa wavivu? Bradhee, danganyeni wadanganyika. Mitaa yenyewe hata lami hamna sasa mtaweka sidewalks kwa vumbi road? 🤣 🤣Hawa wanaongea sana ni vile tu watu wanakuwaga wavivu kupga picha.
Hasira za njaa 😁😁🤣🤣👇👇Kwa hivo main roads mnapiga picha alafu mitaani mnakuwa wavivu? Bradhee, danganyeni wadanganyika. Mitaa yenyewe hata lami hamna sasa mtaweka sidewalks kwa vumbi road? 🤣 🤣
![]()
😂😂😂😂😂
View: https://x.com/sholard_mancity/status/1808136009831666078?t=3k84Rdnuhl97jR9zhJIEqg&s=19
View: https://x.com/JackieGashe/status/1808135664267153423?t=Kkopwyb-k6UDRDLEntYJSg&s=19
View: https://x.com/JoelNaburuk/status/1808137727595987455?t=Bpj4s7guWeT9BXdL8repCA&s=19
View: https://x.com/ernest_mbeta/status/1808136153653989422?t=pofriCvBioHWK4dzUPEXSg&s=19
Naona ushaabadilisha mada after kupigwa vya uso. Sijawai ona maishani mwangu Mkenya akilalamika eti Bongolala wamekataa kutuuzia chakula. Ila wabongo kila siku wanalia mbona hatununui kwao chakula. Anyway, endelea kula hiyo milo yako tano ambayo naweza inunua kwa wiki moja na pesa zangu za lunch pekee. 🚮🤣Nyie mnaolalamika Tz hawataki kutuuzia chakula hiyo si kuwa na worry ya kukosa chakula? Halafu jiulize motive iliyojificha kwa Gen Z ni nini kama sio hofu ya kutokula tumeona supermarkets ngapi mmevamia na yule mwamba wa kibera akijipigia msosi wa bunge live on camera 🤣🤣🤣
Mtu mwenye ile picha ya mkunya akikimbia na ugali naomba aweke hapa tafadhali ni hofu tu ya kukosa msosi mtu anajitwisha ugali wa moto.
Anasema seafood ni GMO. Hivi hawa bongolala wanajua maana ya GMO? 😂 😂Naona ushaabadilisha mada after kupigwa vya uso. Sijawai ona maishani mwangu Mkenya akilalamika eti Bongolala wamekataa kutuuzia chakula. Ila wabongo kila siku wanalia mbona hatununui kwao chakula. Anyway, endelea kula hiyo milo yako tano ambayo naweza inunua kwa wiki moja na pesa zangu za lunch pekee. 🚮🤣
Wakishaapigwa huwa wanajaribu kuharibu mjadala hivo. Amegundua ile flex yake ya kula milo tano ni ujinga so aseme tu chochote mradi mjadala uharibike. 🤣 🤣Anasema seafood ni GMO. Hivi hawa bongolala wanajua maana ya GMO? 😂 😂
We mrembo enhe na wewe huwa unakula chakula cha sh ngapi?Unataka nikupostie lunch yangu tena muanze kulalamika?
Mtu anakaa korogocho sea food wapi na wapi ataishia kula frozen tuu kwa bei ya kupigwa.I was born in Tanga town, I'm now living in Dar es salaam.. unaitambia sea food.? 🤣🤣🤣