Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,302
- 33,632
Aren't you the same one who shared a plate of shawarma in some dingy place here?
Mrembo wa kisumu ndogo slum umekula?
Aren't you the same one who shared a plate of shawarma in some dingy place here?
Zambia be like….🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3031539
Mimi sikusema kwamba naweza kumlisha tear gas week nzima kwa plate moja ya Shawarma usinilishe maneno..🤣🤣🤣Aren't you the same one who shared a plate of shawarma in some dingy place here?
Unataka nikupostie lunch yangu tena muanze kulalamika?View attachment 3031568
Mrembo wa kisumu ndogo slum umekula?
Ni kwa sababu huwezi. Bei ya hiyo shawarma haiwezi lisha mtu one week kama bei ya hiyo Seafood Risotto aliyopost NairobiWalker . Unavyopenda kujionyesha hungekosa kusema kama ungekula chakula cha Tshs. 80k.Mimi sikusema kwamba naweza kumlisha tear gas week nzima kwa plate moja ya Shawarma usinilishe maneno..🤣🤣🤣
I was born in Tanga town, I'm now living in Dar es salaam.. unaitambia sea food.? 🤣🤣🤣Ni kwa sababu huwezi. Bei ya hiyo shawarma haiwezi lisha mtu one week kama bei ya hiyo Seafood Risotto aliyopost NairobiWalker . Unavyopenda kujionyesha hungekosa kusema kama ungekula chakula cha Tshs. 80k.
Mwenyewe anaona kama anatuadisia vitu vya kwenye space hapoNsni kakwambia hivyo vitu hakuna Tz.? Kutuma pesa kutoka kwenye mtandao wa simu kwenda Bank or vise versa, ni kitu kigeni Tz.? 🤣🤣🤣 au umeendeleza kuleta upumbavu wako
?
Shida sio seafood, shida ni penye ameikula. Palepale alipoikula angeitisha kuku angeuziwa hiyo hiyo Tshs. 80k. Wacha kufikiria kama mbwa. Hapa tunaongelea cost, sio type ya chakula. Hiyo shawarma yako ya Tsha 2000 angeikula hapo pia angetumia zaidi ya Tshs. 50k. Uko na ushamba sana.I was born in Tanga town, I'm now living in Dar es salaam.. unaitambia sea food.? 🤣🤣🤣
Unajua shawarma niliikula wapi kwani.? 🤣🤣🤣 do you want me to post the venue.?Shida sio seafood, shida ni penye ameikula. Palepale alipoikula angeitisha kuku angeuziwa hiyo hiyo Tshs. 80k. Wacha kufikiria kama mbwa. Hapa tunaongelea cost, sio type ya chakula. Uko na ushamba sana.
Hadi hapo ulipokula panaonekana tu pa ovyo. Mimi ni mtu niliyezoea migahawa ya kifahari usidhani ni kama wewe unayelishwa na demu wako. Najua mgahawa wa kifahari kwa kuangalia tu hata chakula kilivyopangwa kwa sahani alafu utazame lighting ya mgahawa. Tazama hiyo sahani ya NairobiWalker ulinganishe na hii shawarma yako. Hiki kikizidi sana ni mia mbili za Kenya na hata hapo nimekuwa generous.Unajua shawarma niliikula wapi kwani.? 🤣🤣🤣 do you want me to post the venue.?
🤣🤣🤣 wewe kibwengo, wacha kuweweseka, do you want me to post the venue.?Hadi hapo ulipokula panaonekana tu pa ovyo. Mimi ni mtu niliyezoea migahawa ya kifahari usidhani ni kama wewe unayelishwa na demu wako. Najua mgahawa wa kifahari kwa kuangalia tu hata chakula kilivyopangwa kwa sahani alafu utazame lighting ya mgahawa. Tazama hiyo sahani ya NairobiWalker ulinganishe na hii shawarma yako. Hiki kikizidi sana ni mia mbili za Kenya na hata hapo nimekuwa generous.
![]()
Lettuce zimekatwa kienyeji. Sahani ina kivuli ni kama wanatumia taa ya koroboi.😂😂Hadi hapo ulipokula panaonekana tu pa ovyo. Mimi ni mtu niliyezoea migahawa ya kifahari usidhani ni kama wewe unayelishwa na demu wako. Najua mgahawa wa kifahari kwa kuangalia tu hata chakula kilivyopangwa kwa sahani alafu utazame lighting ya mgahawa. Tazama hiyo sahani ya NairobiWalker ulinganishe na hii shawarma yako. Hiki kikizidi sana ni mia mbili za Kenya na hata hapo nimekuwa generous.
![]()
Lunch ya mchele wanaokula kule lamu pekee?Unataka nikupostie lunch yangu tena muanze kulalamika?
Ndio nikamueleza mgahawa wa kifahari unajua kwa lighting. Yani yeye amezoea akitoka mama ntilie aingie zile restaurant za mjini kama Lazarus sasa ameingia luxury. Hawezi ona vitu tunaona. Siku ataingia real luxury atajua tu.Lettuce zimekatwa kienyeji. Sahani ina kivuli ni kama wanatumia taa ya koroboi.😂😂
Ebu post hiyo venue tuone. 😂 😂🤣🤣🤣 wewe kibwengo, wacha kuweweseka, do you want me to post the venue.?
Nitokee hapa na uso wako mbovu, me sitomb...i vibwengo. 🤣🤣🤣Ebu post hiyo venue tuone. 😂 😂
Umegundua zile vitu unaona ni luxury kwetu sio luxury so heri ujitoe mapema kabla aibu zikupate.🤣🤣Nitokee hapa na uso wako mbovu, me sitomb...i vibwengo. 🤣🤣🤣