Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa Mbongolala ametengeneza video ameweka sauti ya mzungu na AI kuilinganisha na ya Kenya alafu ndio mnatupigia kelele. Inaonyesha jinsi mlivyo na inferiority complex dhidi yetu.😂😂
Inferiority ya kwio,ebu msiklize mwijaku wa kundustan kamaliza kila kitu
 

Attachments

  • TikTok_7384851192276585734.mp4
    7.5 MB
Kula milo mingi inategemeana na umri, aina ya shughuli unayofanya na kama unafanya mazoezi. Ukiwa na umri chini ya miaka 25, kula hata milo 20 ila ukifika 30 na kuendelea, mwili hauhitaji kula sana, zaidi utauchosha na kuongeza free radicals.
It is medically advised mtu uwe unakula after every 3 hours tumbo halipaswi kuwa tupu except pale unapokuwa umelala yes take traditional 3 meals and between each meal a snack is good for your health. Hi milo 3 then nothing in between ndio maana watu wengi wanadumaa kwanza milo yenyewe haina proper nutrients.
 
Tupe picha kaka tusumbie kwenye mitandao
😂 Hii hapa haipo Clear

IMG_9180.jpeg
 
Kwan nini kusiwepo App kabisa unalipia huko huko kwa mpesa ukifika station ni kuscan na kuingia? Korea walikuwa wanajifunza nini?
Nadhani labda wangeweka mfumo kana wa check in airport ukisha check in unaingia kwenye secluded area ambayo unakuwa tayari kupanda treni. Au waongeze machines za,automatic check in ukilipia ticket mtandaoni wanakupa code umapokuwa una check in ingiza code kwenye mashine ili itoe boarding pass.
 
Huo ni uongo. Pantoni zilikuwa zinakarabatiwa. Tena Mv Magogoni ndio iliofanyiwa ukarabati mkubwa kabisa. Mv Kigambonj nayo wakati wa Magufuli ilishakarabatiwa. Mv Kazi ilikuja mpya wakati wa Magu. Kusema pantoni wakati wa Magu zilkuwa hazikarabatiwi ni uongo. Uzembe na wizi ndio uneleta hii shida kivukoni.
Halafu ukizingatia Meli zote hata za maziwani zimekarabatiwa na kutengenezwa mpya na nyingi kipindi ha Magufuli. Watu wanalishwa ujinga na kwa uzembe wakutofikiria wanaongea vitu vya ajabu.
 
Jina sahihi ni Rhapta, ni mji wa zamani toka karne ya kwanza ulikuwa maeneo ya Kilwa, mafia hadi delta ya Rufiji. Ndio bandari kongwe zaidi katika bara la Afrika kusini mwa jangwa la Sahara... Mji huo ulizama na kupotea.. Mabaki ya mji huo ndio yanafanyiwa utafiti kwa sasa na Prof. Felix Chami wa UDSM.
Shida kwa serikali ya ccm,uwa awazingatii kutangaza historic kama hizo thus y hizi kunyavuzi zinatake advantage kuudanganya ulimwengu eti kiswahili kilianzia lamu wakati lamu imekuja kugundulika karne 2 baada ya kugundulika kilwa
 
It is medically advised mtu uwe unakula after every 3 hours tumbo halipaswi kuwa tupu except pale unapokuwa umelala yes take traditional 3 meals and between each meal a snack is good for your health. Hi milo 3 then nothing in between ndio maana watu wengi wanadumaa kwanza milo yenyewe haina proper nutrients.
Mshamba tu wewe, interminient fasting helps improve overall digestive system. Kula kula ovyo kunasababisha low Acidity kwa tumbo ambayo inaleta bacteria infection, Acid Reflux, bloating, Cramps, Gastritis, belching and farting. Eat small meals and sometimes fast to maintain high stomach acidity.
 
Hii sikubaliani nayo iliipaswa kuwa nyerere express tuu sasa tutatofautisha vipi hii huduma kati ya nyerere na Samia? Express sio treni mojamoja bali ni aina ya huduma. Huku TRC bado kuna watu washamba sana.
Mzee tuanze kubishana mambo ya majina. Tanzania ni civilized Nation. Hatuwezi kuanza kubishana mambo madogo madogo hivi. Haya mambo ya kubishania majina tuwaachie wakenya.

Hata mambo ya kuita majina watoto, kuna watu mpaka wanapigana kisa jina la mtoto tu. Bro sisi ni civilized bhana.
 
Mshamba tu wewe, interminient fasting helps improve overall digestive system. Kula kula ovyo kunasababisha low Acidity kwa tumbo ambayo inaleta bacteria infection, Acid Reflux, bloating, Cramps, Gastritis, belching and farting. Eat small meals and sometimes fast to maintain high stomach acidity.
Elimu yenu tunaijua wacha ku google wewe. 🤣🤣🤣
 
Huyu angekuwa amemwagikiwa na maji pale JKIA, akili yake ingemkaa vizuri.
Ni mkakati wa westerner kuwavimbisha kichwa na kuponda nchi zinazo jielewa na zisizokubalu kunyonywa. Kama ule ujinga unasikia kuwa North Korea ni masikini.

Hehehe, rain season ilishapita Nairobi bro. Halafu sii yeye pekee amesema haya. Wageni wote kwa hii miji miwili hukariri mambo haya.
 
Kuna siku nilifyeka majani,kipindi cha mvua mvua ikapita karibia wiki,majani ayakauki nikasema niyafosi kuyachoma kwa kerosene,nilitafuta karibia maduka 10 na zaidi sikuyapata hadi ikabidi ninyonye petrol kidogo ndio nikayachoma yale majani
Unajua Kerosine ni expensive kuliko hata diesel hapa bongo.
 
Back
Top Bottom