Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,993
Waliifanya vile ile kutokomeza uchakachuaji,but ikaja kusaidia kivingine,hamna vibatari TZ kama kundustan,hata mama muuza samaki ikifika usiku unamkuta na taa yake ya kuchajiUnajua Kerosine ni expensive kuliko hata diesel hapa bongo.