Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo kwenye pedestrian walkways kutudanganya.
Nairobi ni only Uptown area in
a walkways nzr kwingine kote ni majanga kuanzia upperhill, kilimani, westlands na the like. Yaan ni hakuna kabisa bila kusahau open sewage.

Watu watasema Nairobi iko developed kwa sababu modern Nairobi iko concetrated sehemu moja ( hizo modern buildings ziko eneo moja) so ni rahisi kusema Nairobi is modern.
Unlike dar.. pale kuna modern glassbuildings 5 ukivuka barabara kuna historical buildings 10 za 1950 nk...zenye archtecture inspired by India, arab ,swahili etc...

Nairobi mji ni mdogo na majengo yote yamerundikwa sehemu moja ila in reality Dar ina modern buildings nyingi zaidi kuzidi Nairobi sema ziko scattered.
Haya malalamishi unaweza mpelekea kwa video yake mwenyewe maanake haya mambo tumewaambia humu mara nyingi mnapinga sasa hivi mmeambiwa na mwengine na sio wa kwanza kusema hivyo. Watu wengi (wasio Wakenya wala Watanzania) wakitembelea hii miji miwili huwa na maoni hayo hayo.
 
Naona Treni zimepamba moto. Ongezeko la safari. Naona abiria wamekuwa wengi sana. Imebidi waongeze safari. Mambo ni moto 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ Kundustan bado wanaandamana?

View: https://youtu.be/1ERSIMbfFHk?si=uPUjl-VirgcDs8h6
 
Ifike hatua wakat mwengine tukosoe sio kusifia Tu, na ukiona mtu ana sifiwa Sana ujue kuna shida kubwa Sana nyuma yake
Jibu maelezo, Waziri wa Ujenzi alipoenda hapo Magogoni aliwafanyaje wale wasimamizi? Ulitaka afanye kipi zaidi ya alichofanya?
 
Tanzania ni less than 590,000 staff Nchi nzima πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C8IKksINTWx/?igsh=MW41cjZleWtnc3huYQ==

Katiba ya Kenya ndio imeleta janga lote hili. Haya masuala ya counties na viongozi wake na wabunge yake ni shida kwa nchi maskini kama Kenya.
Kunapaswa kuwe na mjadala wa kitaifa kuhusu the form of governance na katiba ibadilike japo haitakuwa rahisi maana watu watakosa ulaji.
Ruto sio mbaya ila his hands are tied up he cannot implement what he wishes.
 
Kuna kitu inaitwa preventive maintenance kijana Magu alikaba kila kona hata mishahara hakuongeza for 5 good years.
Chombo usipofanyia maintenance leo kitakufa tuu. Hiyo pantoni iko Mombasa more than a year now it means ilipelekwa 2022 inaelekea ilishajifa kitambo kabla ya hapo na budget ya Mana imeanza 2022. Kataa ukubali lakini huo ndio ukweli mchungu hatuko hapa kuabudu watu.
Magu alifreeze maintenance ya vitu vingi sana hata maintenance ya tanesco transmission lines alipiga stop madhara yake ndio hayo sasa.
Wasema?
Hakukufanyika PM tanesco??
Mwenye kitengo cha PM nakushangaa!
 
Wasema?
Hakukufanyika PM tanesco??
Nakushangaa!
Alifreeze maintenance works Tanesco mpaka transmission line ikawa imechoka. Sisi hatukupaswa kuwa na mgao wa umeme hapo nyuma ila energy loss ilikuwa kubwa sana due to worn out transmission systems. Ndio sasa hivi imewekwa dollar kama 2b ku overhaul transmission system.
 
You must be stupid when it comes to this area or you are a one meal person. A person normally has what you call 3 meals per day and in between those meals 2 small meals as snack.
Number of meals per day also defines poverty.
Poverty is thinking overeating is wealth. A human just needs three quality meals in a day. By quality I don't mean the ration size, I mean the meals should constitute all the important nutrients your body needs. Only sick people (especially those with diabetes) are allowed to eat more but smaller portions in a day to prevent dips in energy. BTW, financially stable people, food constitutes a very small percentage of their budget. If your mind revolves around food then you're poor.
 
Naona Treni zimepamba moto. Ongezeko la safari. Naona abiria wamekuwa wengi sana. Imebidi waongeze safari. Mambo ni moto 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ Kundustan bado wanaandamana?

View: https://youtu.be/1ERSIMbfFHk?si=uPUjl-VirgcDs8h6

Hawa vichaa walikuwa wanatudai tuwaoneshe 1mm ya reli sasa tulipowaonyesha wakahanisha goli kwa abiria sasa bureti ni mwendo wa fulful. 😁
 
Poverty is thinking overeating is wealth. A human just needs three quality meals in a day. By quality I don't mean the ration size, I mean the meals should constitute all the important nutrients your body needs. Only sick people (especially those with diabetes) are allowed to eat more but smaller portions in a day to prevent dips in energy. BTW, financially stable people, food constitutes a very small percentage of their budget. If your mind revolves around food then you're poor.
Number of meals is a good indicator of disposable income. And by the way 5 meals haimaanishi each single meal must be large kama ile yako ya mlo mmoja.
 
Back
Top Bottom