Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tushakua elders wa Africa, Zim👇
54c12346c5ac77905069a733aac545f990c264dc.jpeg
 
Mngese unajua maana ya sarcasm ama unajiandikia vitu, watu wanavuka kwa mitumbwi dar slum karne hii na huoni tatizo.
Hasira zako peleka kwenye maandamano, hakuna kitu mpo juu ya Tz, sisi kwa sasa tunatumia hizi luxury Taxi za Azam pale kigamboni, tushatoka huko kwenye masafina👇👇
screenshot_20240630-155319-2-png.3029799
Screenshot_20240630-155436~2.png
 

Attachments

  • Screenshot_20240630-155319~2.png
    Screenshot_20240630-155319~2.png
    579.7 KB · Views: 18
Wewe mbwa mji mkongwe zaidi Africa mashariki ni Kilwa empire. The city founded in 10th century. Historia mnasoma kenya ni takataka 🤣🤣🤣
Founded by persians from Iran. Lamu was founded by arabs from Oman in 11th century. Kiswahili imejaa kiarabu na kimijikenda
 
Back
Top Bottom