ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Nonsense.😉Btw.. are you aware Mangufuli died in Nairobi Hospital?… just a reminder…🤣🤣🤣
Sio hujuma,ujinga tu wa wizara ya michezo,sie cosafa ni member maana tuko upande wa SADC,ila hawataki uwepo wetu kule sababu ya cecafa,ile chance kama wangekuwepo kunyan wasingebaki cecafahujuma za Kundustan!
This thread is about Nairobi vs Dar. Ukitaka kuona projects za Kenya, ninaamini kuna uzi mwafakaSwali langu hujalijibu. Je hakuna new projects kwenye nchi yenu?
Sasa unapoonesha barabara za katavi kwenye video ya jamaa kutoka ufaransa tukuite punguani?This thread is about Nairobi vs Dar. Ukitaka kuona projects za Kenya, ninaamini kuna uzi mwafaka
Kwa sababu Tanzania sio member wa COSAFA, Huwa wana tu invite tu,Why is Tanzania absent from COSAFA tournament?… serious question…
Samia Exreess
Kama Kashapita katavi mpanda kuelekea Sumbawanga hapo kati kuna hifadhi hawaruhusiwi kuweka lami lakini ni kipande cha kama 40km tuu.The same problem again, 85km without asphalt. Tuliaminishwa hatakanyaga vumbi tena mpaka zambia 😂View attachment 3030711View attachment 3030712View attachment 3030713View attachment 3030714View attachment 3030715View attachment 3030716View attachment 3030717View attachment 3030718View attachment 3030719
We kima umezoea kukariri eh electric grid kwani ni lazima iende na barabara? Acha ushamba.Nionyeshe electric grid hapa 😬View attachment 3030728View attachment 3030729
Mpaka leo naislum inatumia nguvu za vibatari, hivi Tanzania kuna hata duka linauza kerosene karne hii?
Wana haki zote za kumshusha zakayo
View attachment 3030726
View: https://youtu.be/dN03b3iG7yc?si=K601uCoMBdU4cL2M
Unajua tunapogawanya huduma za treni kama ordinary train, semi ordinary au express hizi huduma zinapaswa zitambulike kwa jina moja tuu kama ni nyerere express au srengeti class kwa mfano sasa unapokuwa na more than one express trains names inaleta confusion kidogo haya ziko seti 10 hizo zilizobaki tuzipe majina ya nani? Mfugale ama Kadogosa express?Hilo ni jina la treni haziwezi zote kuwa Nyerere express!
Atakut..o..mbIla mimi humpenda RRONDO kwa kuwa yeye huwa mkweli tofauti na hawa bongolala wengine.
Prof. Janabi atapingana na wewe.It is medically advised mtu uwe unakula after every 3 hours tumbo halipaswi kuwa tupu
Kula kula kila wakati siyo afya, mwili unahitaji kufanya repair (removing dead/cancerous cells, free radicals, viruses and bacteria) na digestion inazuia processes hizo kufanyika.except pale unapokuwa umelala yes take traditional 3 meals and between each meal a snack is good for your health. Hi milo 3 then nothing in between ndio maana watu wengi wanadumaa kwanza milo yenyewe haina proper nutrients.
Kila class ya huduma huwa na jina lake sasa flagship service/train hapo TRC kwa upande wa passengers ni nini sasa Samia ama nyerere express au hao wengine watakaukuja baadae?Ni washamba kweli, wanachukulia kama ndege vile kila aircraft inakua na jina tofauti
Quote mahali nimeleta hiyo taarifa, bwege weweSasa unapoonesha barabara za katavi kwenye video ya jamaa kutoka ufaransa tukuite punguani?