Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

viongozi muliwachagua wenyewe, wajinga nyinyi KAZI yenu kuburuzwa na wanasiasa miaka kwenda miaka kurudi, nitajie mwanasiasa gani sio tajiri Kenya 😂😂😂😂😂

Nimeskia omanga alipata tender ya furniture state house for 1b Yani pesa inatoka serekalini inaenda kwa mwanasiasa
Nitajie mwanasiasa gani sio tajiri Bongo.
 
Haaaa nani kakwambia Kilwa founded by Persians!?
Kilwa founded by Arabs from Oman.
Na hata sarafu zake ziliandikwa kiarabu sio kiajemi.
Unanipotezea mda, katafute mmijikenda alafu umsikilize akiongea lugha yao, ni kiswahili kisicho na maneno ya kiarabu.
 
Tulisema Kenya akikohoa Afrika anapata kibaridi. 😂 😂
Tatizo mmejifungia kibera hamjui hata dunia inavyoendelea. Kabla hata ya maandamano yenu DRC watu walitimba mpaka Ikulu. Nyie hata kunusa Ikulu mmeshindwa. Nyie ni waoga. Ruto kawapiga mkwara kidogo tu wote mmekimbilia kwenye mashimo kama panya 🤣 🤣 🤣

Wakenya wanamuogopa Ruto.
 
lets wait n see! mimi hata haya maandamano yanayoendelea naona kuna mkono kutoka nchi za nje! Inaelekea Ruto anaweza kupinduliwa hata kabla ya mission ya Haiti haijafanikiwa!
Kenyans are naturally courageous. We do not need an external force to protest against the government.
 
Hasira zako peleka kwenye maandamano, hakuna kitu mpo juu ya Tz, sisi kwa sasa tunatumia hizi luxury Taxi za Azam pale kigamboni, tushatoka huko kwenye masafina👇👇
screenshot_20240630-155319-2-png.3029799
View attachment 3029800
Kwa hivo mtumbwi wa kubeba watu 30 umekuwa wa maana kuliko ferry inayobeba maelfu ya watu na magari kwa wakati mmoja?
 
Tatizo mmejifungia kibera hamjui hata dunia inavyoendelea. Kabla hata ya maandamano yenu DRC watu walitimba mpaka Ikulu. Nyie hata kunusa Ikulu mmeshindwa. Nyie ni waoga. Ruto kawapiga mkwara kidogo tu wote mmekimbilia kwenye mashimo kama panya 🤣 🤣 🤣

Wakenya wanamuogopa Ruto.
Maajabu ya nguruwe wa kufungiwa kuita waliotembea eti wafungwa.
 
Back
Top Bottom