Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anaongoza nyumbu hupenda kusikia vitu kama hivi. Potatoes imported from Europe 🤣🤣🤣🤣
What more evidence do you need to know this country is full of shit?
Wanashangilia democracy 😎.
Wazungu kweli wametuweza kwenye Biblia, Democracy na Human Rights. Ukisikia uchawi wa kufanywa msukule ndio hizo zawadi tatu.
 
Magu alifreeze maintenance ya vitu vingi sana hata maintenance ya tanesco transmission lines alipiga stop madhara yake ndio hayo sasa.
Lame excuses. Na wewe unatuletea stories za akina Makamba. Acheni upuuzi kumsingizia mtu aliekufa 3 yrs ago.. Nani aliwambia pantoni zilikuwa hazikarabatiwi? Naishi kigamboni. Pantoni zilikuwa zinakarabatiwa moja moja. One at a time tunaishi na mbili hadi moja inarudi baadae inaenda ingine hivyo hivyo. Huu ni uxembe tu wizi ndio unaleta yote haya.
 
Kuna kitu inaitwa preventive maintenance kijana Magu alikaba kila kona hata mishahara hakuongeza for 5 good years.
Chombo usipofanyia maintenance leo kitakufa tuu. Hiyo pantoni iko Mombasa more than a year now it means ilipelekwa 2022 inaelekea ilishajifa kitambo kabla ya hapo na budget ya Mana imeanza 2022. Kataa ukubali lakini huo ndio ukweli mchungu hatuko hapa kuabudu watu.
 
Huo ni uongo. Pantoni zilikuwa zinakarabatiwa. Tena Mv Magogoni ndio iliofanyiwa ukarabati mkubwa kabisa. Mv Kigambonj nayo wakati wa Magufuli ilishakarabatiwa. Mv Kazi ilikuja mpya wakati wa Magu. Kusema pantoni wakati wa Magu zilkuwa hazikarabatiwi ni uongo. Uzembe na wizi ndio uneleta hii shida kivukoni.
 
Mara ya mwisho Tanzania niliangalia ilikua na watumishi wa umma laki 5, Kunyaland ambayo wanasema wenyewe wapo kidogo in population na hata eneo ni nusu ya Tanzania ina watumishi wa umma zaidi ya million 1 na wanalipwa mshahara zaidi ya kes trillion 1.1 kwa mwaka huku Kunyaland ikikusanya kes trillion 2 na hapo hizo pesa 61% ambayo ni kes trillion 1.4 inaenda kulipa madeni, sasa kwanini isiwe failed state 😁😁

Dakika ya 1:45 Ruto anakiri Kunyaland ni takataka

View: https://youtu.be/7bRWxksAibg?si=SfXHZbqXkeN3JynL
 
Mwingine anasema eti pantoni zimeharibika kwasababu Magufuli hakufanyia ukarabati!
Hizo stupid Chawa za Makamba kueneza chuki juu ya mtu aliyekufa.

Bashungwa asipokuwa serious Pantoni hizo zitasababisha mambo mengi.

Azam wanaidai serikali mabillioni ya pesa. Pesa za uongo hazina justification yoyote. Kabla ya last month manager wa hapo alifukuzwa.

Hapo kuna sabotage. Huenda kuna watu wameahidiwa mshiko na Azam. Huu ndio ukweli wa hapo.

Na kuna ugomvi mwingie yeye Azam anataka Watu watumie Azam Pay wakati NIDC wapo na NCard. NCard wamemgomea Azam kuunganisha mfumo wao na card ya Azam pay.
 
Mara ya mwisho Tanzania niliangalia ilikua na watumishi wa umma laki 5, Kunyaland ambayo wanasema wenyewe wapo kidogo in population na hata eneo ni nusu ya Tanzania ina watumishi wa umma zaidi ya million 1 na wanalipwa mshahara zaidi ya kes trillion 1.1 kwa mwaka huku Kunyaland ikikusanya kes trillion 2 na hapo hizo pesa 61% ambayo ni kes trillion 1.4 inaenda kulipa madeni, sasa kwanini isiwe failed state 😁😁

Dakika ya 1:45 Ruto anakiri Kunyaland ni takataka

View: https://youtu.be/7bRWxksAibg?si=SfXHZbqXkeN3JynL

Tanzania ni less than 590,000 staff Nchi nzima 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C8IKksINTWx/?igsh=MW41cjZleWtnc3huYQ==
 
Sahihi kabisa tena serikali inatakiwa kuchagiza matumizi ya mtandao zaidi ili kumantain government expenditure kwenye kuhudumia uendeshaji wa serikali, serikali iweke mazingira wezeshi kwa watanzania kujitengeneze ajira zao wenyewe instead of kuwaajiri kwenye public sector, tafiti kwanza zinaonesha kuna accountability, integrity and productivity kubwa kwenye private sector kuliko public, serikali iajiri kwenye maeneo nyeti tu kama vyombo vya ulinzi, afya, elimu, kilimo

Nyerere alikua mbele ya muda, Kunyaland should take a leaf if not the whole tree here!

View: https://x.com/ayubu_madenge/status/1419892834166050820?t=i6yXeA8mT51ZBwUOPmN6iw&s=19
 
Nishakwambia Mombasa haina competition vumbi stan kando na dar slum. Vitu Unanionyesha utavipata kilifi bila kuhangaika na barabara za tope kama Zanzibar. Inaonekana umesahau ile battle ya hoteli, kilifi town ni kubwa na modern kuliko Zanzibar uswazi town na nitakuonyesha
Empty talks sio mahala pake hapa. 🤣🤣🤣
 
Kumbe SGR ni wazo la East Africa ila nyang'au wakaiwekea fitina TZ ili wafaidike na landlocked wenyewe. Hawa sio ndugu zetu kwakweli inabidi ziwepo nyaraka za kuwajuza hata vizazi vijavyo wakae mbali na hawa wanaharam.

View: https://youtu.be/46vpJFkkBzQ?t=66

Yaani waling'oa hadi reli...
Kumbe ndo maana wanaumia mno kuona Tanzania inajijengea reli yake ya umeme.
Hawa wanaweza tuma hadi watu wakaing'oa hii SGR yetu. Ulinzi uimarishwe
 
I eat five meals a day you don't. Tanzanian kids go to school for free up to form six and all university students get government funding, universal health insurance accommodated in this year budget, youth are given 50 acres agricultural land with Irrigational facilities with free seeds and house, youth are also given startup capital by the councils to start up business.
Bado unataka tuandamane we lofa?
Eating 5 meals is gluttony. That's not a flex. Three meals are enough.
 
Back
Top Bottom