Nimeona na nimesoma maelezo yake katika mtandao.
Ni sahihi kabisa,japo najiuliza,kilitokea nini mpaka mji ukazama aisee!?
Rufiji basin imekuwaje!?Hilo suala la kujua mji huo ulipotea vipi ni gumu kujua... Hata maandiko ya kuhusu huo mji hayapo sana... Nadhani huo mji ulizama na kufuta historia kubwa sana ya eneo hilo la Pwani ya kusini... Mengi sana yalipotea hapo. Kwa sababu gani na kwa maslahi ya nani... Hilo ni jambo jingine..
Ni sawa na ishu ya Rufiji Basin...
Yaani kuna vitu ukikaa ukitafakari unashindwa kabisa kuelewa board za mashirika zinafanya kazi gani! Utafikiri ni jambo jipya limezuka jana usiku, kumbe toka 2018 walikua kwenye kujiandaa na uendeshaji 🚮Kwan nini kusiwepo App kabisa unalipia huko huko kwa mpesa ukifika station ni kuscan na kuingia? Korea walikuwa wanajifunza nini?
Waweke a certain amount of discount na waifanyie promo ya kutosha tena hapo hapo wawepo vijana kama wale wa kusajili line za mitandao wawe wanafanya awareness campaign na kuwasaidia kuistall app kwenye simu za abiria angalau kwa miezi miwili watapunguza msongamano kwa kiasi kikubwa, najiwazia tu ikiwa mpaka Mwanza itakuaje kwa lile nyomi la abiria asubuhi, TRC wapo hovyo kweli na mturuki kwenye vituo kapuyanga kichizi, tukubaliIPO hio system sema watu wengi hawapendi kutumia na sijui kwann
ati hujui Rifiji basin penye Kihansi HP, Kidatu HP, Mtera HP na kunapojengwa JNHPP na kwenye mafurika kila mara!Rufiji basin imekuwaje!?
Maana ndio mara kwanza nasikia kuhusu Rufiji basin.
Ah wallahi sikujua kama kunaitwa hivyo.ati hujui Rifiji basin kunapojengwa JNHPP na kwenye mafurika kila mara!
Watu ni wazee wenye miaka 50+ lakin kubuni vitu kusolve kero kubwa hawataki.Yaani kuna vitu ukikaa ukitafakari unashindwa kabisa kuelewa board za mashirika zinafanya kazi gani! Utafikiri ni jambo jipya limezuka jana usiku, kumbe toka 2018 walikua kwenye kujiandaa na uendeshaji 🚮
Anayedanganywa ni yule anayeukubali uongo kama Wadanganyika. Wakenya ukiwaambia uongo wanakuumbua papo hapo. Hawajali wewe ni Rais ama nani. Huko kwenu ndio mmezoea kudanganywa. Huku hata uwe Rais unaumbuliwa tu. Tazama interview ujionee.
View: https://www.youtube.com/watch?v=sBivyw499GU
I eat only twice a day ( breakfast and dinner coz it’s healthier for the body) and am more rich than all Bongolalas in this sub forum combined…🤣🤣Poverty is thinking overeating is wealth. A human just needs three quality meals in a day. By quality I don't mean the ration size, I mean the meals should constitute all the important nutrients your body needs. Only sick people (especially those with diabetes) are allowed to eat more but smaller portions in a day to prevent dips in energy. BTW, financially stable people, food constitutes a very small percentage of their budget. If your mind revolves around food then you're poor.
hatch tag=hashtagThis is a very rare event in Africa….. imaginé a local journalist telling Kagame or Museveni .. “hatch tag you must go”…or “ you have bloods in your hands”
he/she won’t live to see another day…. Kenya is a mature democracy regardless of any skirmish…
Mm naona kwenye vituo kajenga vzr shida ipo kwetu Sisi kwenye mashirikaWaweke a certain amount of discount na waifanyie promo ya kutosha tena hapo hapo wawepo vijana kama wale wa kusajili line za mitandao wawe wanafanya awareness campaign na kuwasaidia kuistall app kwenye simu za abiria angalau kwa miezi miwili watapunguza msongamano kwa kiasi kikubwa, najiwazia tu ikiwa mpaka Mwanza itakuaje kwa lile nyomi la abiria asubuhi, TRC wapo hovyo kweli na mturuki kwenye vituo kapuyanga kichizi, tukubali
A few points...Hapo kwenye pedestrian walkways kutudanganya.
Nairobi ni only Uptown area in
a walkways nzr kwingine kote ni majanga kuanzia upperhill, kilimani, westlands na the like. Yaan ni hakuna kabisa bila kusahau open sewage.
Watu watasema Nairobi iko developed kwa sababu modern Nairobi iko concetrated sehemu moja ( hizo modern buildings ziko eneo moja) so ni rahisi kusema Nairobi is modern.
Unlike dar.. pale kuna modern glassbuildings 5 ukivuka barabara kuna historical buildings 10 za 1950 nk...zenye archtecture inspired by India, arab ,swahili etc...
Nairobi mji ni mdogo na majengo yote yamerundikwa sehemu moja ila in reality Dar ina modern buildings nyingi zaidi kuzidi Nairobi sema ziko scattered.
Sorry I went slang on it.. Thanks for the correction…. #Mgonjwa anatapika ..🤣🤣hatch tag=hashtag
Huku tulishatoka. Sasa tuletee projectsA few points...
Umesema Nairobi it's only uptown ndio Iko na sidewalks. Well, I don't know what you meant by uptown but I want to believe that you meant to say downtown/cbd. Nairobi has no place called uptown.
These are Upper Hill sidewalksView attachment 3030601View attachment 3030602View attachment 3030603
In Kileleshwa...
View attachment 3030605View attachment 3030606View attachment 3030607View attachment 3030609View attachment 3030610View attachment 3030611
In Gigiri...View attachment 3030620
Undisclosed location...
View attachment 3030622
Alafu umesema modern Nairobi iko concentrated sehemu moja? Which one exactly? Is it cbd, Upper Hill, Lavington, Kileleshwa, Westlands or Kilimani? Or is it South C? Or could it be Eastleigh?
Or even Parklands?
You see, Dar es Salaam ni Posta, Kariakoo (which is still part of cbd) na Upanga. Ukiondoa hizo sehemu mbili hakuna Dar. Hata Ile kijitonyama mnayotaja humu ni vijighorofa vitano kando ya barabara Moja. Pembezoni ni uswazi.
Take a look at Eastleigh below uniambie inawezalinganishwa na wapi hapo Dar kwa ujenzi ukiondoa Posta na upangaView attachment 3030626View attachment 3030627View attachment 3030630View attachment 3030631View attachment 3030632
Kwa sasa mmeanza kuwa civilized kama watanzania. Hongera kwa watanzania kuwafanya hawa nyang'au kuwa humbleSorry I went slang on it.. Thanks for the correction…. #Mgonjwa anatapika ..🤣🤣
Hivi wewe umerukwa na akili? Hizi jazba zinatoka wapi?sasa mimi nikufundishe what is modern and what is not modern! wacha upumbavu! Kiufupi hamna train unasubiri masaa mawili kituoni dunia nzima! Wanapaswa waweke facilities nyingi za kukata tiketi (automats) na ku-screen abiria kabla ya ku-board hapo kituoni Dar, Moro, Dom na vituo vyote vikubwa! Pia na ku-modernize online booking pia watengeze apps kupunguza msongamano ni kama hawakujifunza jinsi operations zinafanyika huko walipoenda kufanya benchmarking Korea!