Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Hii kitu ya Kenya inakaa pasi ya Mkaa…..😂😂Mnuka nnyaa anakuambia Mv uhuru ndiyo meli kubwa ziwa Victoria, huyu jamaa ni kichaa wallahi 👇 👇 👇 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
View attachment 3016236
Hii kitu ya Kenya inakaa pasi ya Mkaa…..😂😂Mnuka nnyaa anakuambia Mv uhuru ndiyo meli kubwa ziwa Victoria, huyu jamaa ni kichaa wallahi 👇 👇 👇 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
View attachment 3016236
Nilijua hiyo bill ndio itawapea morale ya kuniquote😂😂😂, zile za 4,000 were actually scaring most of you away😂😂.Hiyo ni gesti house tuu ambayo.pembeni Kuna local mgahawa,yaani hotel wanauza msosi 6,000? Acha ushamba na umaskini 😆😆
Hii end product tunaomba iwekwe katika makumbusho ya Nairobi 😁Tujikumbushe na mnuka mavi ili mjue hawa watu wana midomo mipana na hawana kitu.
View attachment 3016208
End product 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3016209
grade 6 rice....very cheapTukitaka mpunga safi tunakula wa mwea first grade sio huu wa plastic, maisha magumu haya🤣🤣🤣 View attachment 3015188
Ndivyo walivyo. But I think it shows they hold us to higher standards than they do themselves which means they feel we are better than them because even in arguments, they're okay with their people engaging in stupid arguments but are quick to call a Kenyan mshamba when he does a half of that.Mbona umenyenyekea tena?😂😂😂
Nikuongeze zingine ama niache tu? So mtu akiringia watu smocha ya 110 sio ushamba lakini nikiletea transactions zangu having meals of 4,840 then inakuwa ushamba? Kama iko hivo then I’m happy to be mshamba😂😂😂.
Acha nikupe ya bei ya chini maybe unaezapata tena nguvu ya kupingana na mimi 😂 😂
Anyway hii ndio ya mwisho, nimeacha kupost hizi screenshots Sasa😂
View attachment 3016431
mmesema hii ni dubai...lol.....Kama mamtoni mwanangu, hapo chini kuna BRT inawekwa hapo, hawa wakenya tusipokuwa makini watazidi kujaa huku Tz mana ndiyo Dubai yao kwa sasa ❤️❤️😍😍🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥
View attachment 3016237
0.2% tarmacked a real 5th world country with chinese egoMimi ndio nimekuja na hizo screenshots na sio Nairobi walker, hapo ni kigoma na kigoma nimji mbovu Sana nimeshuhudia tanzania.
Mimi nimemfuatilia tangia anaingia kenya 8 months ago, Sababu yakumshtusha ni kwamba tangia aondoke Uganda amepitia sehemu maskini za Burundi na western Tanzania along the border na ndio Mara ya kwanza amepata mji.
Karne hii unasherekea AC, wakati CBD ya mji wa 2.4 million people unakaa hivi. Muna maisha magumu😅View attachment 3015654View attachment 3015656
Mchele wa Tanzania ndio top rice Kunyaland unaliwa na vibopa tu, wengine ni mwendo wa githeri na ngunaRice zenye tunaimport from Tanzania ni za wafungwa. All high quality rice we consume in Kenya are produced locally and Pakistan.
Hii ndio better road ??🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂Mimi ndio nimekuja na hizo screenshots na sio Nairobi walker, hapo ni kigoma na kigoma nimji mbovu Sana nimeshuhudia tanzania.