Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Unajua shawarma ni nini.? 🤣🤣🤣Endelea kukula vitu substandard. In this time of the day nani uringia watu kukula smocha?
Unajua shawarma ni nini.? 🤣🤣🤣Endelea kukula vitu substandard. In this time of the day nani uringia watu kukula smocha?
![]()
Lake Tanganyika Hotel Kigoma
Na hio Mombasa na Dar slum tofauti ya GDP ni pua na mdomo 😅😅😅
Wewe Sasa ndio kondoo kuliko wote. Malls and Purchasing power goes hand in hand. Malls is an umbrella of many smaller and medium shops, nobody will build a mall if he/she knows they will not be occupied. Also remember that no business will rent a space in a mall if they know that they will not get customers. So here is a circle of how malls and PP are related.Hivi nyie mnazungumzia Purchasing power ya mtu mmoja mmoja au Purchasing power ya nchi... ?
Mwenzako anasema PP inapimwa kwa ujenzi wa malls, kweli?
Hakuna mtu haelewi tofauti ya PP na PPP, lakini toka aseme PP inapimwa kwa ujenzi wa malls nikajua anazungumzia PPP akiwa ameelezea kwa kifupi Purchasing Power...
Sasa hebu elezeni mnazungumzia PPP ama PP?
Huyo NairobiWalker ni muongo na mbishi sana. Hizo picha anazodai ni kigoma mjini sio kigoma mjini bali ni kijiji fulani wilaya ya Manyovu km 50 kutoka kigoma town.
View: https://youtu.be/sIpzkACnoAw?si=B7OAx5i6YySYQDFv
Mzungu baada ya kufika kigoma aliona haya. Mpaka anasema ndo mara ya kwanza in a while kuona proper city, anashangaa Traffic lights ( Nairobi tu traffic light za kuhesabu) , street roads ziko paved, hotel in AC nk.
Nimescreenshot hapa kuleta ushahidi.
Hapa anasema ndo amefika in a true African cityView attachment 3015572
Hapa kasema kuona traffic lights in a while
View attachment 3015566
Hapa anashangaa kukuta AC kigoma
View attachment 3015565
Hapa anashangaa hata street roads ziko paved
View attachment 3015568
Hapa anapata best view kabisa ya lake Tanganyika
View attachment 3015571
Huu unyama sana, mambo scotch whiskey na cigar...*Cigar Lounge * Johari Rotana Dar es salaam Tanzania. This is not Kenya. Wakenya hangaikeni na chakula kwanza but starehe huku Tanzania
View attachment 3015578
View attachment 3015579
View attachment 3015583
Karibu mzee. Tutakutana siku moja hapo.Huu unyama sana, mambo scotch whiskey na cigar...
Mambo yangu hayo..
Hivi huoni kama unajipiga own goal hapa?
Toa maelezo mtoto wa kike using'ate ng'ate maneno. What do you mean?Hivi huoni kama unajipiga own goal hapa?
Enyewe kukosa akili ni kukosa akili tu, amepost kuonyesha jinsi Marsabit ilivyo na maendeleo kuliko kigoma licha ya Kigoma kuwa na idadi kubwa ya watu kuliko Marsabit. Wewe umekuja na hasira kutetea Kigoma alafu unaleta population iliyo juu zaidi ya ile aliyotaja mwanzoni.Toa maelezo mtoto wa kike using'ate ng'ate maneno. What do you mean?
Dasilinga ndio upuzi gani sasa.Upanga dasilinga View attachment 3015553Dar es Salaam.
Imagine the differenceAmekuja kwa wazazi wake kuhiji Tanzania ni baba wa Ukombozi Africa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. @SuluhuSamia akiwa kwenye mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco Chapo wakati alipofika Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni, 2024. @FRELIMO_@FRELIMONLINE
View attachment 3015471
View attachment 3015474