chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,315
- 45,115
Hii sio coincidence lazima ni government's system sabotage haiwezekani mauzo yetu ya mchele Kunyaland yaporomoke hivyo kutoka 65k metric tones 2023 mpaka 16k metric tones 2024 lazima kuna sera mbovu za mipakani Kunyaland wameimpose kudhoofisha ease of access lakini walivyo wajinga hawajui tuna other 7 neighbors na biashara yetu kubwa ni SADC wala sio EAC