NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,975
Sasa mbona unalia. Si huwa mnasema mtakataa kutuuzia chakula.😂😂Angalia hii chart vizuri mmetoka nyie nchi kibao za ulaya zimeingia na Sudan imeingia ni ninyi mnaingia gharama kubwa kutafuta dollar ya kuagiza mbali na sisi mkifikiri mnatukomoa kumbe mnajiumiza pia misaada ya vyakula imemeza gap 😁😁😁View attachment 3016509