Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yale mabehewa aloo ❤️❤️😍😍🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥
1718261338585.png
 
DR Congo inaongoza kwa nchi zinazopitisha kiwango kikubwa cha mizigo Bandari ya Dar.

Tanzania na DRC zimesaini mkataba wa ushirikiano katika uendelezaji na uendeshaji wa bandari kavu tano zitakazojengwa Tanzania na DR Congo, ili kuongeza ufanisi, usalama na mizigo inayopita Bandari ya Dar.Ongezeko la mizigo ni ongezeko la mapato, ajira na fursa ya biashara kwenye mnyororo mzima wa usafirishaji.

1718262894225.png
 
Wakenya bhn wana midomo kweli kweli lkn wengi wao humu wana maisha duni sana, mnuka mavi juzi tu hapa alikuwa ana download pesa mtandaoni alafu anatuma humu na maneno kibao, leo kameanza kusema kanasubiri dividend na vipicha visivyo na muhuri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watchman I'm not your mate. Are you aware that I can feed your entire family for years?
 
Wewe kima uwanja wa ndege haueezi kutajwa kuwa na terminals mbili au tatu kama hizo majengo sio separate, otherwise ukitaka iwe hivyo ni vichumba ti vilivyopewa majina kwamba ni terminals kama mnavyofanya hapo taifa la kipumbavu. 🤣🤣🤣 there's only single terminal in JKIA
Kabla ya hapo zilikuwa zikiitwa units walipoona JNIA ina-add terminal ya Tatu wakabadili kuita terminals!
 
That’s 2016, when I was in campus. Huyo ndio level yako. Saa hii I’m far better than you. I can afford to finance your life.
Wewe ni fala tu mmoja, juzi tu hapa mwaka jana uli download pesa mtandaoni ukasema ni zako mpaka pale nilipokuumbua, pia ni mshamba mmoja hv yn unaongelea kitanda humu, mbwa koko wewe.
 
Mnapingana juu ya terminal wakati airport yenyewe inahandle more than double airport zenu zote combined. Ujinga ingine hata kwa maombi haiwezi isha.
JNIA pamoja na hizo terminal tatu is handling the same number of passengers as Mombasa.😂😂😂
 
Wewe ni fala tu mmoja, juzi tu hapa mwaka jana uli download pesa mtandaoni ukasema ni zako mpaka pale nilipokuumbua, pia ni mshamba mmoja hv yn unaongelea kitanda humu, mbwa koko wewe.
Watchman wewe ni maskini nyamaza. Kati yako na kibanda gang nani maskini zaidi? Kuja nikunulilie lunch.
 
Back
Top Bottom