Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiwaona wakitamba wakipost terminals za Airports za China unaweza dhani wana terminals kumbe ni hiki kimabati rolling mills. Hizo terminal wanazoongelea ziko wapi?😂😂😂

View attachment 3016286
Wewe kima, kwako ni bora uongee uongo ili ujifariji, hata kama ukweli unaujua.? 🤣🤣🤣 wala usihangaike kupost screenshot za Google earth .. hizi hapa picha za terminals za JNIA.. terminal three 👇
Screenshot_20240613_120940_Facebook.jpg
Screenshot_20240613_121503_Facebook.jpg
terminal 2.. 👇
8324953647_d3145a8438_b.jpg
FB_IMG_1718270201099.jpg
FB_IMG_1718269909187.jpg
terminal 1👇
8235088347_9afed3297b_c.jpg
 
Hata kama ni ofisi ya uchawi siwezi kubali utumbo kama huo. Nyang'au wewe!! Document hata kiweka proper seal au stamp ya lawyer huwezi?? Huki muhuri wa lawyer tunagonga hata kwa 20,000 tu.
Hiyo picha katengeneza sasa umemshika, hapo anapambana apate nyingine yenye muhuri, yn yeye akiongopa ndio anajisikia raha, wakenya ni wajinga sn.
 
Back
Top Bottom