Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Yani kila kitu ni Dar, hio Sgr sijui itabeba mizigo gani kutoka mwanza, omena !?😂😂😂😂Yani wanaongea upuzi hadi hawawezi elewa kama uko sarcastic ukiwarudishia huo upuzi wako. Unapata mtu amepost picha ya Mwanza - there second biggest city - alafu anaandika eti 1200km from Dar. 🤣 🤣