Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mmehamisha goli kwenye number of passengers tena? 😁
Kwani ni uongo JNIA is handling the same passengers as Mombasa Airport?

Siku mtafikia hizi numbers za JKIA kujeni tuongee. 8.2M passengers in 2023 for JKIA, JNIA ni 1.5M.
IMG_0245.png
 
Wewe watchman tafuta watu wa kucheza nao. Wakati mwenzako anakula lunch ya Ksh110 mimi nakula za Ksh4050. Ama hii pia nimetengeneza?😂😂😂

View attachment 3016383
Si nilisema mimi, huyu jamaa ana background mbaya, sasa hapo lunch kala tangu tarehe 8 mwezi wa tano lkn katunza risiti mpk leo, wakenya aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Si nilisema mimi, huyu jamaa ana background mbaya, sasa hapo lunch kala tangu tarehe 8 mwezi wa tano lkn katunza risiti mpk leo, wakenya aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna kitu inaitwa transaction statements, they keep records of payment and you can even retrieve payments done on in 2005 using the mobile money apps.

But since hutaki statements, acha nikuonyeshe messages of payment basi for date 9 May😂😂.

Remember I don't eat in Kibanda kama nyinyi. On 8th May it was Two Rivers Mall, on 9th Sasa ni Garden City Mall.

Screenshot_20240613-134344_2.jpg
Screenshot_20240613-135016_1.jpg
 
Siku hizi hata huna courage ya kushindana na mimi😂😂

Niko Chiken Inn Nakula Kuja nikupe kabite.
Hapa kalikuwa kame screen shot risiti ya mwezi wa tano kakasema eti kapo Chicken Inn ili nibishe kapost picha, nikawa nimekagundua kakakausha, baada ya kuona watu hawana habari naye baadae kakapost alafu kakawa kamesahau kuficha tarehe, angalia huo muda kalisema kapo Chicken Inn ndiyo muda huo huo kali screen shot. Haka kajamaa kana fake sn life eti nipo Chicken Inn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
IMG_0271.jpeg
 
Kuna kitu inaitwa transaction statements, they keep records of payment and you can even retrieve payments done on in 2005 using the mobile money apps.

But since hutaki statements, acha nikuonyeshe messages of payment basi for date 9 May😂😂.

Remember I don't eat in Kibanda kama nyinyi. On 8th May it was Two Rivers Mall, on 9th Sasa ni Garden City Mall.

View attachment 3016395View attachment 3016396
Unaficha nn sasa, nani asiyejua wewe ni mzee wa ku download mipesa na vitu mbalimbali mitandaoni, wewe si nilikupa jina la bwana mapesa au umenisahau 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapa kalikuwa kame screen shot risiti ya mwezi wa tano kakasema eti kapo Chicken Inn ili nibishe kapost picha, nikawa nimekagundua kakakausha, baada ya kuona watu hawana habari naye baadae kakapost alafu kakawa kamesahau kuficha tarehe, angalia huo muda kalisema kapo Chicken Inn ndiyo muda huo huo kali screen shot. Haka kajamaa kana fake sn life eti nipo Chicken Inn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3016399
😂😂😂
 
Tatizo background yako inafanya uwe mshamba.
Mbona umenyenyekea tena?😂😂😂

Nikuongeze zingine ama niache tu? So mtu akiringia watu smocha ya 110 sio ushamba lakini nikiletea transactions zangu having meals of 4,840 then inakuwa ushamba? Kama iko hivo then I’m happy to be mshamba😂😂😂.

Acha nikupe ya bei ya chini maybe unaezapata tena nguvu ya kupingana na mimi 😂 😂

Anyway hii ndio ya mwisho, nimeacha kupost hizi screenshots Sasa😂

Screenshot_20240613-143814_1.jpg
 
View attachment 3016431
Hiyo ni gesti house tuu ambayo.pembeni Kuna local mgahawa,yaani hotel wanauza msosi 6,000? Acha ushamba na umaskini 😆😆
 
Back
Top Bottom