Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu post tena hiyo video, ni kama ilinipita😂😂
Hii hapa nimeipata. 🤣 🤣
Screenshot 2024-06-12 092723.png

View: https://www.youtube.com/watch?v=SFRgKNgx8OQ&t=932s
 
facility zilizopo Kigoma hata Kisumu haioni ndani!
CC: NairobiWalker
Mji umeshindwa na moyale, kacenter ka jangwani, hata hatufai kuuongelea. Nitakuwa nakosea wenyeji wa Kisumu heshima kushiriki kwa huu mjadala wako. Niletee Kigoma vs Moyale tutajadiliana. Kisumu kimaendeleo imeshindwa na Dar es Salaam pekee hapo Bongo. Peleka upumbavu wako kule.
 
Kwa barabara hata mimi nakuunga mkono mzee.. hakuna barabara za maana Mwanza, ila ukitaja maendeleo kiujumla, kuanzia majengo, trail way infrastructure, SGR+MGR, shughli za uzalishaji, bridges, airport, hotels, water and electricity supply. Mwanza is at least 30 years above kipoison, Kisumu haiwezi shindana hata Arusha. 🤣🤣🤣 wewe piga kelele wee ila ukweli ndio huo.
 
First of all you need to get your facts right when making a point.
1. Moyale is 777km from Nairobi, not 200.

2. Is development measured by distance from Dar and Nairobi? Kwa hivo Mombasa yafaa iwe less developed than Bagamoyo kisa Bagamoyo iko karibu na Dar na Mombasa iko mbali na Nairobi?

3. Nairobi ipo katikati mwa nchi, Dar iko pembeni mwa nchi kwa hivo Dar iko mbali na sehemu nyingi za Tz than Nairobi ilivyo na sehemu za Kenya.

Alafu mbona mimi sioni hiyo development unayoongelea? Tazama hizi picha unieleze ni wapi kumeendelea. Kumbuka Moyale ipo Jangwani mahali ambapo hapazalishwi chochote meanwhile Kigoma imezungukwa na mashamba zenye rotuba na vivutio vya utalii pia ipo kando ya ziwa lililobeba 60% of all the freshwater in Africa.

Kigoma
picsart_24-06-11_23-16-04-875-jpg.3014966
picsart_24-06-11_23-16-42-200-jpg.3014967

Moyale
View attachment 3015146View attachment 3015147View attachment 3015148
Wakenya wamechanganyikiwa
 
Kwa Sasa kazi ya ujenzi wa Barabara zaidi ya km 25 za TARURA/TACTIC inaendelea.

Ujenzi wa km 25 dual carriage way 4 lanes utaanza baadae mwaka huu kutoka mjini kati Hadi Usagara km 22

So ndani ya miaka 2 ijayo Mwanza itakuwa na sura Mpya kabisaa

View: https://www.instagram.com/p/C7nmkfTtuhZ/?igsh=cm0wa3ZxNDZhMzFr

View: https://www.instagram.com/p/C7jJ-PyNApI/?igsh=cnBtcjVkdnpoMndk
 
Na watanzania hawajisifu na wanaona ni mambo ya kawaida sana. Hawa wakenya ulimbukeni unawasumbua.
Kweli kabisa watanzania hawana ulimbukeni wa kujisifia kwa vitu wenyewe tunaona ni vya kawaida sana na vidogo na hicho ndio kinachowashangaza wengi, wanashangaa Mbona watanzania wana maisha mazuri lakini huoni wakiwa na bragging za kishamba
 
First of all you need to get your facts right when making a point.
1. Moyale is 777km from Nairobi, not 200.

2. Is development measured by distance from Dar and Nairobi? Kwa hivo Mombasa yafaa iwe less developed than Bagamoyo kisa Bagamoyo iko karibu na Dar na Mombasa iko mbali na Nairobi?

3. Nairobi ipo katikati mwa nchi, Dar iko pembeni mwa nchi kwa hivo Dar iko mbali na sehemu nyingi za Tz than Nairobi ilivyo na sehemu za Kenya.

Alafu mbona mimi sioni hiyo development unayoongelea? Tazama hizi picha unieleze ni wapi kumeendelea. Kumbuka Moyale ipo Jangwani mahali ambapo hapazalishwi chochote meanwhile Kigoma imezungukwa na mashamba zenye rotuba na vivutio vya utalii pia ipo kando ya ziwa lililobeba 60% of all the freshwater in Africa.

Kigoma
picsart_24-06-11_23-16-04-875-jpg.3014966
picsart_24-06-11_23-16-42-200-jpg.3014967

Moyale
View attachment 3015146View attachment 3015147View attachment 3015148

Leta Moyale ikiwa hivi 😁😁😁

View: https://www.instagram.com/reel/C7qcVbaNr5T/?igsh=MXdwMnhwdTdobmRxaA==
 
First of all you need to get your facts right when making a point.
1. Moyale is 777km from Nairobi, not 200.

2. Is development measured by distance from Dar and Nairobi? Kwa hivo Mombasa yafaa iwe less developed than Bagamoyo kisa Bagamoyo iko karibu na Dar na Mombasa iko mbali na Nairobi?

3. Nairobi ipo katikati mwa nchi, Dar iko pembeni mwa nchi kwa hivo Dar iko mbali na sehemu nyingi za Tz than Nairobi ilivyo na sehemu za Kenya.

Alafu mbona mimi sioni hiyo development unayoongelea? Tazama hizi picha unieleze ni wapi kumeendelea. Kumbuka Moyale ipo Jangwani mahali ambapo hapazalishwi chochote meanwhile Kigoma imezungukwa na mashamba zenye rotuba na vivutio vya utalii pia ipo kando ya ziwa lililobeba 60% of all the freshwater in Africa.

Kigoma
picsart_24-06-11_23-16-04-875-jpg.3014966
picsart_24-06-11_23-16-42-200-jpg.3014967

Moyale
View attachment 3015146View attachment 3015147View attachment 3015148
Point nilizoraise kwa hii post zimeuma Wabongo sana. 🤣 🤣
 
Mkuu kunyan ni watu wa kufake life,kuna zoba humu kajifanya kushangaa chakula alichokula yves kule kigoma wakati yy uhakika wa milo mi2 kwa siku hana,nawashangaa humu mnabishana nao kuhusu magari while hao maskini hata baiskeli ya mbao hawana,hawa ni wa kupiga spana nyumba zao za udongo na mabati tu tuone kama watathubutu kuquote
Airport yenyewe huko Moyale ipo kama njia ya panya 😁😁

Screenshot_20240612-100239.jpg

Kigoma in two years inakamilisha hiki kitu
images (20).jpeg
images (21).jpeg
 
Back
Top Bottom