Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I thought ATCL stands for Any Time Cancellation Limited..🤣🤣😂
You remind me this, walitupa hilo jina WACOMORO.

Enzi hizo, ila cha ajabu sijui tumelogwa au vipi COMORO inategemea Tanzania sana, ila Tanzania ipo ipo.

Yaani bhakresa kidogo ndio amewakumbuka na meli ya kueleweka watu wanakuja na mitumbwi mikubwa, Air Tanzania kama hawana muda nao why wasiwategee ndege moja, huenda ikatusaidia pia kufungua route ya Ufaransa.
 
Hii serikali ya huyu mama ni ya hovyo sana,inakuaje Kenya wanaanza kutupokonya deals rahisi kama hizi.


View attachment 2997158

This presents a significant blow to Tanzania considering plans to use its ports to transport oil to Rwanda have been on the pipeline since 2021.

View attachment 2997159
A photo President William Ruto and President Paul Kagame in Kigali, Rwanda on April 4, 2023.

WILLIAM RUTO
Apart from the Kigali deal, already, a delegation from KPC is in DRC trying to secure a similar agreement. Kenya has already ramped up investment in advanced infrastructure to ensure South Sudan relies on the Port of Mombasa for its oil needs.

“We are now fine-tuning the last steps of the process and, therefore, with Rwanda coming on board, we have a larger market to serve and even generate more revenues,” Joe Sang, the CEO of the Kenya Pipeline Company was quoted by The Africa Report as saying.

This deal is expected to be a foreign exchange bonanza for Kenya considering that currently Rwanda only imports 3 per cent of its oil through Kenya.




Rwanda, DRC and South Sudan's agreements with Kenya come at an opportune time as Uganda has tentatively agreed to continue importing Ksh264 billion worth of fuel annually through Kenya.

Uganda had in the past threatened to ditch Kenya and use the Tanzania route citing exploitation by Kenyan-based Oil Marketing Companies (OMCs).

Uganda is also expected to benefit from the Kenya-Rwanda deal as the fuel will pass through its territory and be subjected to standard levies.

KPC will pump the Rwanda-bound fuel to Eldoret where it will be picked up by trucks and transported to Kigali through Uganda.




Sang is optimistic that Kenya will increase oil export volumes not only to Rwanda but also to Burundi and South Sudan.

As it is with Rwanda's case, South Sudan will receive its refined fuel through Uganda after picking it up at the Eldoret KPC depot.

Inachekesha, ndio maana nasema hii nchi ina pesa kila sehemu ila wajinga ndio hawaoni kitu, mzee aliposema antumia pesa za ndani walikua wanamcheka, wanacheka eti TTCL inatoaje gawio wakati TTCL ndio inawauzia Internet hao wote.

Bandari ilikua haina kona kona so pesa inaflow, umeme uliwekwa dhabiti ili flow ya biashara iwe kweli kodi iwe kwa wakati, Madini yalikua yanatoroshwa na kidogo Tanzanite ijulikane ni Kenya na India.

Makampuni yaliacha kutangaza hasara maana wanatumia kichaka cha hasara kupiga wakati wapo wapo.

Eti mgodi unatangaza unajiendesha kwa hasara WTF, wakati wananchi wakiunga dili ndogo kutoka mgodini pesa inakua nyingi mpaka wanakua wafanyabiashara wakubwa refer KISIRE LUXURY, CHACHA MWITA GACHUMA (CMG), ZAKARIA, HUKO CHUNYA ndio usiseme.

Pesa ipo sana hii nchi.

Kuhusu hilo la Rwanda inafikirisha maana Rwanda wana ICD ya DP world (Naomba kusahishwa) na DP World ndio hao wamepewa Dar Port.
 
The point is we always preside you in every major technological advancement…you copy similar initiatives we start .. am not saying we are the first but don’t you find it interesting that you always follow Kenya’s path in creating projects… Example we built SGR… sooner your citizens demanded one but electrified just to satisfy your egos, next we set up affordable housing schemes… sooner your government announced affordable housing programs Bongo… We announced the construction of Lamu port… sooner you came up with Bagamoyo massive port plan just to feel like you beat Kenya.. even the newly elected President Magufuli realized it didn’t make sense and stopped it… We started special economic zones… sooner Tanzania government announced the creation of similar projects beginning in Dar… We built inland depot in Naivasha… now there is a plan to build an inland depot somewhere in the middle of Tanzania…. We came up with a BRT plan for Nairobi… sooner you created a similar one for Dar ( I give you credit you built yours whereas ours still stuck on paper).. . Sooner we announced the expansion of JKIA … you announced a plan to expand JNIA … ( again kudos you did it despite being mabati rolling mills)… there are many examples I left out..😃😃
Hehe tech ya matokeo mmeanza lini?

Expansion ya JKIA alafu matokeo ndio yapi?
 
Wamezoea kupewa Misaada. Hadi Uganda inawajengea shule.

View attachment 2997188
Otorong'ong'o bana, so umekua msaada. Alafu huyo Museveni nani Alimuweka huko alipo?

Sometimes nyie wajinga mnataka kulinganisha misaada tunayopata na yenu sio.

Sikia hata South Africa aje kutoa msaada gani hapa hauwezi fikis msaada tuliowapa wa Kumuondoa Kaburu, same to SADC countries tumtumia pesa nyingi sana misaada ya kila namna kwa SADC countries, wakirudisha fadhila inawauma eeh?

Huyo Museveni mjue kwanza nani alimuweka madarakani?

China huyo unayemsema ana misaada hapa unaweza linganisha na msaada wetu tuliompa "KUMPIGANIA APATE LEGITIMATE SEAT ON UN ambayo TAIWAN inakua ni sehemu ya china na Kuwa na legitimate seat UN inamaashisha International laws zinakulinda including Maritime territory?"

Na hii hawajaisahau ikifika miaka wanasharehekea guess what on their 50 year walitoa FRIENDSHIP MEDAL (HIGHEST HONOR FROM CHINA TO FOREIGNER) kwa aliyewafanikisha.

So wakilipa fadhila nyie nyang'au mnataka mpunguzie machungu ya kupewa matenk ya maji ikulu, msaada wa chakula kutoka nchi ya jangwa na unapigwa na viongozi, misaada ya kudhalilisha utu na GDP.
 
Sekondari is not a pure swahili word. Yani hadi lugha yako hujui.

Mr. Cosmologist Kwani what do you know?
Shule ya Upili, shida nini?

Chekechea
Shule ya Msingi
Shule ya Upili
Kidato cha Tano na Sita

Chuo ngazi ya
Astashahada = Certificate
Stashahada = Diploma
Stashahada ya Uzamili = Postgraduate Diploma (PGD)
Shahada ya Uangavu/Awali = Bachelor's Degree
Shahada ya Umahiri = Master's Degree
Shahada ya Uzamivu = PhD


Natumai umejifunza kiswahili hapo wazee wa kiswahili kilianza "LAMU"
 
Endelea kupiga kelele while big companies are recognizing smartness of Kenyans.

View attachment 2997318
Nina swali kama education yenu ni too strong how come mnalipwa $2 cause mnakua comparative advantage?

Ingekua $20hrs hapo sawa ila $2 WTF na unakuja kutupigia kelele eti elimu?

Na Hapo eti Korea Minister daughter 😂 😂 😂 nyie ndugu wa North Noma kwa kujiosha.
 
Hii maneno ya kugawa tender bila ushindanishi niliongea humu ndani watu wakaniona chizi! Cha ajabu Waturuki wameenda kupewa tenders za ujenzi wa meli na Ptof. Mbarawa anaendeleza madudu pale! Ferry yetu kapeleka Mombasa haijarudi!

IMG_0277.png
 
Do you remember way back I posted that KDF has also a different treaty with DRC away from EACRF… I even said I will shut down my account if KDF fully leaves DRC… Bongolalas went crazy on me as usual… hawa vilaza love to comment on things they know little or nothing about… as I put it, KDF is responsible for multiple interests in DRC not just Kenya.. but Bongolalas will never understand what that means…
Are you allowed to interven in conflict? So far MONUSCO ni FIB tu wanaruhusiwa TZ, SA, MALAWI.
 
Back
Top Bottom