Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyan education system is top notch. Ugandan Staudents are coming to get their degrees in Kenya so that they can marketable.

View attachment 2997190
Mmewahi kutoa kiongozi gani mashuhuri hapo Kenya, hiyo Uganda unayosema wewe Rais wao kasoma Tanzania, nikianza ku list idadi ya watu mashuhuri waliosoma Tanzania mtajiona mlivyo na elimu takataka mbele ya education system ya Tanzania.
 
Then why reply? I don’t care about your opinion cause I know you will still reply me. I’m a force that you can’t resist.
Hiyo ndiyo kazi yangu kuwafanya wakenya muumie siku zote, yani mm nikiona mkenya anapata matatizo kwangu huwa nafurahi sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
He is also a physicist and a Cosmologist 😂😂
Hiyo inawatisha. Mbona kawaida sana hapa Tanzania. Secondary tulisoma masomo zaidi ya 11
1. Mathematics
2. Physics
3. Chemistry
4. Biology
5. Geography
6. Agriculture
7. English
8. Kiswahili
9. Bookkeeping
10. History
11. Divinity
12. Civics
13. Bible knowledge
14. Islamic Study

Na mengine mengi wenzagu watataja. Sasa kipi kinaweza kutushinda Watanzania? Mtanzania mmoja ni full package.

Kumbuka Secondary ya Tanzania ni sawa na University ya Kenya
 
Misaada Republic
Tunawapa stress mpaka mnakosa cha kuandika maamaee, mlifikiri sisi ni size yenu kumbe tumewaacha mbali mno, kula chuma iyo, key point "poor business environment"👇👇🤣🤣🤣
Screenshot_20240523-082450~2.png
Screenshot_20240523-082548~2.png
 
Hiyo inawatisha. Mbona kawaida sana hapa Tanzania. Secondary tulisoma masomo zaidi ya 11
1. Mathematics
2. Physics
3. Chemistry
4. Biology
5. Geography
6. Agriculture
7. English
8. Kiswahili
9. Bookkeeping
10. History
11. Divinity
12. Civics
13. Bible knowledge
14. Islamic Study

Na mengine mengi wenzagu watataja. Sasa kipi kinaweza kutushinda Watanzania? Mtanzania mmoja ni full package.

Kumbuka Secondary ya Tanzania ni sawa na University ya Kenya
No wonder watanzania tuko smart kuliko viumbe vyovyote ukanda huu na pengine maeneo mengi Africa.
 
Sawa watchman.
Nimerudi mzee wa pini 📌 📍 nitawatumbua mishipa yenu kwa hizo pini mpaka mpone maamaee, sina undugu na mkenya mm, huwa nasema kama ikitokea niko porini alafu anatokea Simba na mkenya naanza kuuwa mkenya alafu Simba nitaelewana nae baadaye.
 
No wonder watanzania tuko smart kuliko viumbe vyovyote ukanda huu na pengine maeneo mengi Africa.
Hawa wadogo zetu kutoka kenya hawana cha maana. Mtanzania akisoma vizuri O level na kukazania masomo ni mtu hatari sana. Ndio maana hapa tunawapeleka puta.

Hawana Constructive discussion. Ukitaka kujua hilo zaidi, pitia kwenye social media zao. They prove how Kenyan society is. Wanachoweza ni kutukana na kufanya bullying. But hakuma discussion za maana.

JF inawapa exposure ya namna wasomi wanajadiliana.

Na wanajisifia kuwa they are most bullying country in the world. Kumbe ni kukosa facts base.
 
Sasa hao si walipata matatizo kutokana na nature, utakataza watu wasitoe msaada? Hata sisi tulitoa msaada kule Uturuki, lkn nyie mnapewa misaada mkiwa hamna tatizo lolote la nature, yani mnaomba chakula kutoka Uarabuni!!?? Nyie ni mavi kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tulitoa misaada,
Zambia
Malawi
Uturuki
Hata hao kunyaland 2014 waliomba msaada wa mahindi Tani 200,000. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom