ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ebu tuonyeshe hizo deals Kama wewe ni mwanaume😂😂
View: https://x.com/samirasawlani/status/1190300875337687042?t=SXnK-Evi1PzGTPyXQCKn0g&s=19
Ebu tuonyeshe hizo deals Kama wewe ni mwanaume😂😂
Mukiambiwa ukweli munakasirika 😂😂😂
View: https://x.com/McShynne_Ke/status/1542598524793225220?t=FFg_T_bp72h9rCVzYp_FCQ&s=19
Eti win for our military🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Win for our military industry..
View attachment 2997474
Upuuzi. World is moving away from USA tunaelekea kwenye Multi Polar world. Nyie mnarudi nyuma 🤣 🤣 🤣 🤣Jamaa hakuwa anajua anything on that regard and Kama kawaida yake alijifanya kujua kumbe hata the meaning of Non-NATO ndio hakuwa anajua😂😂
View attachment 2997467
View attachment 2997469
Juzi tulitia mkataba na Israel wa Air defense system. From now, US congress haiwezi Ku block tuuzie ndege vita Kama F-15sEti win for our military🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wazungu weusi mutatizo kweli
Unafkiri watu ni wajinga buana🤣🤣🤣I’m still waiting kuona penye deal ilisigniwa🤣🤣😂
Wanauza nchi sasa rasmi hawana hata pesa yakujenga Barabara 1km 🤣🤣🤣🤣Upuuzi. World is moving away from USA tunaelekea kwenye Multi Polar world. Nyie mnarudi nyuma 🤣 🤣 🤣 🤣
Uza nchi kwa America kwa SASA huna pesa hata ya kujenga 1km ya Barabara 🤣🤣🤣Juzi tulitia mkataba na Israel wa Air defense system. From now, US congress haiwezi Ku block tuuzie ndege vita Kama F-15s
Canceled after the contractor (betchel) refused a PPP model like JKIA- westlands expressway.Unafkiri watu ni wajinga buana🤣🤣🤣
Huu sio mradi mgeni kwenu na mpaka Leo munahangaika nao hamuna hata pesa ya kujenga just 1km 👇👇👇
View attachment 2997490
Wapi penye imeandikwa imekuwa signed? Mbona unahangaika?😂😂😂🤣Unafkiri watu ni wajinga buana🤣🤣🤣
Huu sio mradi mgeni kwenu na mpaka Leo munahangaika nao hamuna hata pesa ya kujenga just 1km 👇👇👇
View attachment 2997490
Jamaa hajui Kingereza 😂😂😂.Canceled after the contractor (betchel) refused a PPP model like JKIA- westlands expressway.
![]()
Why U.S Contractor Pulled Out of Nairobi-Mombasa Expressway Construction - Nairobi Wire
Following the completion of the Nairobi Expressway, the Kenyan government has set the ball rolling on a colossal road infrastructure project, the Nairobi-Mombasa Expressway.nairobiwire.com