Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani mkenya anaiita Tanzania misaada republic, my foot 🤣🤣🤣
Kenya misaada inapelekwa ikulu direct, misaada ya chakula mpaka matank ya maji can you imagine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kenya kila kitu ni msaada, kuanzia roads, flyover, skyscrapers mpaka juzi tu hapa mmepewa msaada wa stadium, na bado una guts za kuita Tanzania ni misaada republic, nchi ambayo imepambana kimpango wake kujipata ilipo, just have some respect nyie wanuka mavi.
Inashangaza sana.
 
Cha ajabu ni kwamba Samia alikuwa huko just the other day ila hakuna mkemya alishugulika na ziara yake wala kutaka kujua alienda kufanya nini. Lakini watanzania wanafatilia hii ziara ya Ruto and commenting on every post by Kenyans on the same like their lives depend on it. Desperate beings!!
Eti tunafatilia ziara, unajipa umhimu sana alafu elewa hii thread inahusu nini?

Si mlileta ubishi wa Ndege zenu nyingi? Ila Raisi huyo anakodi na kujipangia pesa nyingi?

Lazima iletwe kusisitiza mna ndege 3 chakavu.


Note: Kabla hujaleta umhimu wako Remember thread inahusu nini na jikumbushe battles za nyuma.
 
images (13).jpeg



View: https://vm.tiktok.com/ZMMKbM848/
 
They just didn't want him on their official podium, he met all of them you claim and addressed whatsoever he wished and probably those Haiti blah blah blah if he felt the significance including the speaker who blocked him entrance 😁😁 they just didn't want mama mboga and mkokoteni (ombaomba) vibes in the house


View: https://twitter.com/citizentvkenya/status/1793336975010713974?t=RfrmPYWDeKbs79spDcDC9A&s=19

Alafu Kuipa Kenya kuongelea Africa future si ni kulitukana hili bara?
 
Back
Top Bottom