ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,254
Malizeni Rushwa, ukabila na umaskini kwanzaSo according to you who should be our partners because clearly we need one. A foreign power house who's going to help us build our democracy, Military, institutions, economic output.
Source ni national statistician show 🤣🤣🤣 probably show ya vichaaSasa nenda ukaambie hao watchbitch ati Kenya is ahead of Tanzania in terms of tourism revenue.
View attachment 2997930View attachment 2997931
Pole kwa makasiriko.Source ni national statistician show 🤣🤣🤣 probably show ya vichaa
I know ni kipindi cha Sera mpya za Ujamaa na kujitegemea ndio viwanda vingi vilianzishwa, ila nilimuuliza hilo swali sababu alitaja 1961 in Independence. Ambao ni uongo.Kama hujui kwamba Tanzania had a bigger economy miaka za nyuma kuliko Kenya, inamaanisha tuanajadiliana na watu wasiojua hata historia ya nchi yao. Sad!!
Fastest train in za worldKuna moja umesahau, their trains are slower than Kenyan trains.
Akili kubwaUko sawa, Boeing walikuwa wamewapa tenda kampuni moja ku supply heat exchanger, Ni alloy fulani inayotengenezwa Russia. Sasa baada ya sanction ile kampuni ikashindwa ku supply tena na stock ya Boeing ilivyoisha ndiyo haya matatizo unayoyaona. 737 MAX na Dreamliner zimekubwa na tatizo hilo.
cc Rhaenyra Targaryen
Na hii ni Kunyaland ipi? 😁😁
Sasa tuoneshe Tourism hapo kenya imefika $ ngapi. 🤣 🤣 🤣
Wamekariri Arusha, Zanzibar na Kilimanjaro 😆😆Kuna pesa nyingi hapa, watu wa Tourism promotion wako wapi?
Alafu Sometimes wakuu why tusiwe tunategea bajeti ya utalii kufufua eneo moja baada ya jingine, ukiandika Visit Tanzania, watu wanajua Serengeti, Kilimanjaro, Zanzibar imeisha hiyo.
Inakua too General, ili vivutio vyote viingie inahitaji too much budget, mfano hapo lake Tanganyika lilipaswa kuwa na Guide book ya kisasa hata logo ya Visit lake Tanganyika,
Visit Tanzania iboreshwe zaidi, si walifanya Visit Zanzibar.
MAFIAAA ISLAND damn pesa zipo za kutosha kuliko ZNZ serikali ikamua.
Acha kujichekesha we fala na unakuta watalii wengine hapo mmewadanganya kuwa Kilimanjaro iko Kenya, Serengeti iko Kenya, Ngorogoro iko Kenya.Bongolalas wanakubalisha game hunting na bado tunawapiga ile kitu kwa tourism revenue.
Mvuto peleka Kwa mkeo/Mumeo.Heee! Uchawa kipaji juzi juzi tu DP WORLD walikua wanaforce sheria ya Rasmali za nchi ya 2017 ibadilishwe maana ilikua inawazuia kua na full control.
Najua 2017 unaijua, sheria hiyo ilikuja baada ya sakata la Madini kati ya Barrick na Serikali plus Tanzanite.
View attachment 2997990
Mama Wenu sometimes nyie wajinga ndio mnafanya azidi poteza mvuto.
Wameanza kuongea kwa sauti..
View: https://twitter.com/AbroadTanzania/status/1793211780321427632?t=HXphxCASLsQK2jXzPa4f6g&s=19
Na hii ni Kunyaland ipi? 😁😁
View: https://twitter.com/ZuruLink/status/1775895374110290104?t=wusVsSVJvSFUxMqgAoDrfA&s=19
Kama huongei why umeziweka hapa?Thousands of Kms of good roads being done all over Kenya. The fact that we don't really talk about it often.
View attachment 2997016View attachment 2997017View attachment 2997018View attachment 2997019View attachment 2997020View attachment 2997021View attachment 2997022View attachment 2997023View attachment 2997024