Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_20240521_175933.jpg
 
Sa
Najua hampendangi ukweli.

When it comes to Human development Kenya is on the medium development rank while Tanzania still struggles at lower Development rank. That’s why Tanzania is still a Least Developed Country.

View attachment 2996570
Sasa mtu ambaye hana uhakika wa kula hata mlo mmoja kwa siku ama hana uwezo wa kumiliki hata kipande cha ardhi anaweza kweli kumcheka kimaendeleo yule anayekula milo mitatu mpaka tano ya choice yake kwa siku na anamiliki kipande cha ardhi? Hii dunia ina vituko sana.
 
ARUSHA

MABADILIKO ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010 yametoa fursa ya kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini na kuhakikisha watanzania wananufaika na rasilimali madini.

Hayo yamesemwa leo Mei 22, 2024 na Waziri wa Madini. Mhe. Anthony Mavunde katika ufunguzi wa Jukwaa la Tatu la Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini linaloendelea kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano AICC jijini Arusha.ARUSHA

1716379609582.png
 
Sa
Sasa mtu ambaye hana uhakika wa kula hata mlo mmoja kwa siku ama hana uwezo wa kumiliki hata kipande cha ardhi anaweza kweli kumcheka kimaendeleo yule anayekula milo mitatu mpaka tano ya choice yake kwa siku na anamiliki kipande cha ardhi? Hii dunia ina vituko sana.
Endelea kupiga kelele

IMG_0240.png
 
Back
Top Bottom