Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ajabu ni kwamba kabla 2003 tanzania ilikua na uchumi mkubwa kuliko Kenya. Mambo yakaanza kubadilika baada ya Kibaki kuapishwa na mpaka Leo gap inazidi kupanuka
Ila Kenya kwa Kibaki walipata raisi kwa kweli, matunda mengi mpaka leo wanakula ni kwa sababu yake.
 
What's wrong with you people and your low knowledge levels? That's interesting for a group that is forever arguing about their country's economy.
Both countries had very few industries but Tz had a sizeable mining industry.
Naongelea 1960s uliyodai, maana colonial era tulikua plantantion economy.
 
Sisi tunalima wao wanabishana kuhusu ziara ya Ruto

Food sovereignty is about reclaiming the right to feed ourselves, defining our own systems of production and consumption, and recognizing food as a fundamental human right rather than a commodity to be traded and manipulated for profit. BBT Beneficiary, Esther Mwenga Misungwi

1716366541575.png
 
Kwani inchi husika hua haichangii au kutoa pesa kama tunatumia hela zetu ni ujinga uliopitiliza kama tulivyo fanya kwenye ukombozi na uhuru wa baadhi ya nchi wanatakiwa walipie gharama za kila kitu
Watanzania Huwa tuna mambo ya kipuuzi ya kizamani,undugu wa saizi ni maslahi na sio Bure.
 
Back
Top Bottom