Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani maeneo ni mengi mno hapa Dar mzee

1706895678782.png


1706895738808.png
 
Nimekuelewa kaka.
Ila kwa sisi tunaotumia sana kiarabu huwa tunawaita "banuu israaiyyl" bimaana wanaisrael halafu uyahudi tunaunasibisha sana na dini.
Maana hao si wana imani yao ya kiyahudi kaka??
🙄🙄🙄🙄 Kakaa usinipe mkosi bhana nawezaje kuwa na damu ya wayahudi??!!
Ila nilichomaanisha wayahudi kama wayahudi walikuwepo Jerusalem na wakawa wanaishi vizuri tu na wapalestina .
Ila taifa la Israel halikuwahi kuwepo.
Mkuu jews og hawanaga shida,ila hawa wayahudi wa sasa ndio shida
 
Miaka ya nyuma nilisoma kitabu kinachoitwa "automate this" by Christopher Steiner, kinaelezea namna algorithms zitakavyotawala katika maisha ya kila siku. Kuanzia kufanya diagnosis ya magonjwa, kutoa hukumu mahakamani, kufanya financial trading na kuendesha maisha ya kila siku. Sisi wenye background ya computer engineering hatukushangaa sana.

Miaka kama 15 iliyopita, nilikuwa nafanya project moja ya ku train neural networks ili kubreak captchas, leo hii teknolojia hiyo ndiyo imeleta CHATGPT na ndiyo hiyo mahakama ya Tanzania itatumia kutoa hukumu.

Binafsi na prefer watu wenye background ya natural science, engineering na mathematics kuwa viongozi wa kuu wa nchi. Hawa ni watu wanaofikiri kwa logic na kufanya analysis kabla ya ku maamuzi na wamekuwa hivyo toka wakiwa watoto. Wachina marais wao wote toka 1980's wana background ya engineering, go figure.
Ukiweka mambo mengi ya formulae kwenye Uongozi utashindwa asubuhi na mapema sana.

Uongozi inahitaji critical thinking na analysis na uwe na emotional intelligence.
 
Ukiweka mambo mengi ya formulae kwenye Uongozi utashindwa asubuhi na mapema sana.

Uongozi inahitaji critical thinking na analysis na uwe na emotional intelligence.
Dunia tunayoishi inaongozwa na kanuni, ndizo zinafanya ukinywa maji yanateremke kwenye esophagus yako na kuingia tumboni. Kanuni ndizo zinakufanya uweze kupumua, huwezi kuzikimbia maisha yako yote.

Hayo mambo ya emotional intelligence, critical thinking ndiyo strengths za watu wa STEM (Science, Technology, engineering and mathematics). FYI , matajiri wakubwa watano wote ni STEM, wakiongozwa na Elon (alisoma physics).
 
Dunia tunayoishi inaongozwa na kanuni, ndizo zinafanya ukinywa maji yateremke kwenye asophagus yako na kuingia tumboni. Kanuni ndizo zinakufanya uweze kupumua, huwezi kuzikimbia maisha yako yote.

Hayo mambo ya emotional intelligence, critical thinking ndiyo strengths za watu wa STEM (Science, Technology, engineering and scinece). FYI , matjiriwatano wote wakubwa ni STEM, wakiongozwa na Elon (alisoma physics).
Endelea kuwa mbishi.Hizo kanuni ziweke kwenye sekta za uzalishaji Dio mambo ya leadership.

Ndio maana hakuna Wabobezi wanakuwa viongozi na Wakiwa viongozi wanafanya tofauti kabisaa na taaluma zao Kwa sababu tasnia hiyo haihitaji formulae
 
Endelea kuwa mbishi.Hizo kanuni ziweke kwenye sekta za uzalishaji Dio mambo ya leadership.

Ndio maana hakuna Wabobezi wanakuwa viongozi na Wakiwa viongozi wanafanya tofauti kabisaa na taaluma zao Kwa sababu tasnia hiyo haihitaji formulae
Unaongea nini wewe wakati data zinapingana na we? Yaani una prove ninachokisema, hutumii logic kufikiri. Hawa ndiyo matajiri wakubwa duniani kwa sasa, unaweza kuona pattern?

1 Elon Musk (Physics)
2 Jeff Bezos (Physics, Engineering, Computer science)
3 Bernard Arnault (Engineering)
4 Bill Gates (Programming)
5 Warren Buffett (Economics)
6 Larry Page (Computer science)
7 Sergey Brin (computer science)
8 Larry Ellison (Physics, Mathematics, programming)
 
Ile gari yako uliopost ulinunua mpya? Kenya kuna magari mabovu Tz hayawezi kuruhusiwa kutembea.
Mine was not 20yrs old when I purchased it. Nyinyi kila mtu gari yake ni kazee, hata baiskeli pia mnanunua kazee😂😂.
 
Tz ni taifa smart sana. Definition ya maendeleo huko north ni only flyover and some few high rise apartments. 😂😂😂😂. Ukiwa ni mfuatiliaji mzuri wa maongezi utakuta hivyo ndio vitu pekee vyenye wanajisifu navyo. 😂😂😂 Kwenye sector ya uzalishaji humo hawafanyi chochote and they're far behind us. Sisi tumefanya makubwa mpaka tunaingia kwenye Top 20 za dunia kwenye bidhaa tofauti tofauti za kilimo.. kubishana na vilaza ni kujishushia heshima sana
Whatever you are doing now Kenya did them long time ago. As you start on cage fishing this year, just know that Kenya has been doing it for the past 20yrs now.
 
Ebhn jamaa ile gari aliyoonesha mkuu ni imechoka hakuna mfano na I'm 100% sure ile gari sio yake, lkn hata ikiwa yake ni aibu kwa mtumbua mishipa kama yeye kumiliki gari nzee vile, that means mishahara kenya bado ipo chini sana, kwa mtumishi wa umma na mtumbua mishipa kama yeye huku bongo hawezi kuwa na gari kama ile ukweli usemwe.
Wewe hata baiskeli huna😂😂😂. Mimi niko na gari and I know inakuuma cause you thought I'm in the same league as you. I keep on disappointing you.

You started ati sikusoma, when I posted my University Certificate ulisema sio zangu.

I then posted my KCSE certificates where I scored A in almost everything, hiyo pia ulisema sio yangu.

After kuona nimekushinda kwa masomo ukaanza kuniita jobless, I posted my job offer letter and that one also you said was not mine.

After realizing I do a better job than you, ulianza kusema ati nalipwa pesa kidogo, when I posted my salary here of six figures (more than 3M Tanzanian Shillings) ulisema nimeedit. 😂

Anytime umeona screenshot ya simu yangu huwa unasema natumia Wifi ya jirani, I went ahead and posted the router. Hujaiongea kuhusu Wifi hadi wa leo juu hata hujui Wifi inawork aje.

Ukaanza kusema sijui simu yangu Iko ovyo, niliamua kupost my Apple Ipad here mkaanza kusema nina ushamba.😂

You even said napiga tu kelele yet I don't use Netflix, I disappointed all of your when I took a picture of my TV watching Netflix.

Ulisema sina gari, when I posted bado unasema sio yangu. You can't even buy one side mirror of that car 😂

So what will be your next point Mr. Watchman? Again for your information I'm not a nurse. I can feed your entire village with my one month salary.
 
Back
Top Bottom