Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado mzee. Nataka nikumalize leo. This is Dar 👇👇👇

1706892003661.png


1706892108632.png
 
Tumetangulia kwenye Kila sekta , Kunyaland wanatoa macho tuu 😁😁

View: https://www.instagram.com/p/C210A5HtkFE/?igsh=MThxOGM4d2htNWljag==

Miaka ya nyuma nilisoma kitabu kinachoitwa "automate this" by Christopher Steiner, kinaelezea namna algorithms zitakavyotawala katika maisha ya kila siku. Kuanzia kufanya diagnosis ya magonjwa, kutoa hukumu mahakamani, kufanya financial trading na kuendesha maisha ya kila siku. Sisi wenye background ya computer engineering hatukushangaa sana.

Miaka kama 15 iliyopita, nilikuwa nafanya project moja ya ku train neural networks ili kubreak captchas, leo hii teknolojia hiyo ndiyo imeleta CHATGPT na ndiyo hiyo mahakama ya Tanzania itatumia kutoa hukumu.

Binafsi na prefer watu wenye background ya natural sciences, engineering na mathematics kuwa viongozi wa kuu wa nchi. Hawa ni watu wanaofikiri kwa logic na kufanya analysis kabla ya kufanya maamuzi na wamekuwa hivyo toka wakiwa watoto. Wachina marais wao wote toka 1980's wana background ya engineering, go figure.
 
Venus Star mbona unacheka, si uliona Magufuli alivyokuwa anamake decisions zake?
Dunia ya sasa viongozi wanatakiwa wawe ni PCM. Hawa waliosoma Historia wabaki tu kwenye uchambuzi wa michezo. But kwenye ulimwengu huu wa Science and Technology. We need Science people. Maana hawa watu sio waoga na wanajua wanachokifanya.
 
Back
Top Bottom