President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,074
- 93,481
Wabongo hua wajinga sana. 😂 😂 😂 Oneni huyu fala anadhani offer starts at midnight instead of expiring at midnight. Tangagiza with less than 80k fixed internet subscribers wanadhani wako ten years ahead. 😂😂😂
View: https://x.com/goligani/status/1720438636787749172?s=20
Kwahiyo unanipangia cha kuweka humu? 😡😡😡 EboTuko 2024 mbona tuongelee news za 2022. Nilikuuliza kama kuna benki Vinginguti na hujajibu.
Sa unakasirika ju Vingunguti kwa panya road hakuna bank. 😂 😂 😂Kwahiyo unanipangia cha kuweka humu? 😡😡😡 Ebo
Nani kakwambia vinguguti hakuna Bank? Yaani nianze kuweka Bank zilizopo kwenye mitaa yote ya Dar?Sa unakasirika ju Vingunguti kwa panya road hakuna bank. 😂 😂 😂
Tuliza ball mtoto wa mama. Hii Electrified SGR siyo kama ya kwenu
Wacha maneno mengi, si utuonyeshe benki moja in Vingunguti. 😂 😂 😂Nania kakwambia vinguguti hakuna Bank? Yaani nianze kuweka Bank zilizopo kwenye mitaa yote ya Dar?
Size ya Dar ni 1,590 km² Nairobi ni 696.1 km² Kama una akili timamu utaelewa niachoongea. Lakini kwakuwa wewe ni kichaa hutaelewa 🤣 🤣 🤣 There are more than 40 banks in Tanzania.
Huko kwenu ni Bank mbili tu. So ondoa ushamba.
TZ SGR ni ya kisasa achana na mitungi yenu ya gongo
Yaani nioneshe kwa command yako??? Sema unaomba mzee.Wacha maneno mengi, si utuonyeshe benki moja in Vingunguti. 😂 😂 😂
Profits from hauling cargo are way much higher than that from passengers. We are interested in profits and not fancy looks.TZ SGR ni ya kisasa achana na mitungi yenu ya gongo
View attachment 2891987
View attachment 2891988
View attachment 2891989
Finally umeamua kuweka kinachokufurahisha. Ulaya gani ipo hivyo? 🤣 🤣 🤣 Taja mji mmojaSafi kama ulaya
![]()
Hakuna jipya😁Safi kama ulaya
![]()