Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukweli ni kwamba. Eneo linaloitwa Israel ni Palestine. Israele existed 1945, baada ya waingereza kuligawa eneo hilo.

Soma History mzee. Baada ya wayahudi kuchinjwa kule Ujerumani, Wayahudi dunia nzima walipiga kelele kuwa wanataka wawe na nchi yao ya wayahudi. Ndipo uingereza ikaigawa Palestine. Je, Palestine wanaamuliwa maisha yao na waingereza. The original jews ndio hao Palestinians. Na sio hao akina Netanyahu.

Netanyahu Asili yake ni Poland.
Japo correction kaka partition ilifanyika 1947.
Ila huyu jamaa anachanganya waisrael na taifa la Israel.
Waisrael walikuwepo kama jamii ya waisrael ila hakukuwa na taifa la Israel.
Nahisi hilo linamchanganya.
 
Only a stupid bongolala like you can believe that 2.5 million people can actually fit in such a small area with no high-rise apartments. Thatsya population density of a million people per square kilometer! You are actually a fool if you think that's a possibility.

Eti Umoja ni slum!?!😆😆😆😆
Well bongolala, this is Umoja 'slum'View attachment 2891111View attachment 2891112View attachment 2891113View attachment 2891114View attachment 2891117View attachment 2891121

Now compare Umoja "slum" with your middle-class areas below View attachment 2891126View attachment 2891130
Huwa nasema kila siku kwamba hapa hakuna battle, ni kujifurahisha tu

Umoja slum 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20240202-150429~2.png
 
Japo correction kaka partition ilifanyika 1947.
Ila huyu jamaa anachanganya waisrael na taifa la Israel.
Waisrael walikuwepo kama jamii ya waisrael ila hakukuwa na taifa la Israel.
Nahisi hilo linamchanganya.
Sorry kaka kidogo. Hakukuwa na waisrael eneo hilo kaka. Waliokuwepo pale ni Wayahudi (Jews). Na waliouliwa na Hitler kule Ujeruman ni wayahudi. Na waliuliwa huko poland miaka ya 1960 na wengine waliletwa Tanzania na Iran wale walikuwa ni Wayahudi (Jews).

Tafuta taarifa inaitwa Holocaust in Poland. Na ufuatilie. Tafuta taarifa inayohusu Kidugala settlement
Utakuta Wapoland wengi sana waliletwa Tanzania. Na hao ni Jews.

Huenda hapo ulipo wewe upo na damu ya Jews.
Mimi ninapinga hili suala la Marekani na Uingiereza kuikalia Palestine kwa mabavu na wao kujiita Jews. Wakati Jews halisi wanawaua hapo Palestine.

Ngoja tuachane na mada hii
 
Nimekuelewa kaka.
Ila kwa sisi tunaotumia sana kiarabu huwa tunawaita "banuu israaiyyl" bimaana wanaisrael halafu uyahudi tunaunasibisha sana na dini.
Maana hao si wana imani yao ya kiyahudi kaka??
🙄🙄🙄🙄 Kakaa usinipe mkosi bhana nawezaje kuwa na damu ya wayahudi??!!
Ila nilichomaanisha wayahudi kama wayahudi walikuwepo Jerusalem na wakawa wanaishi vizuri tu na wapalestina .
Ila taifa la Israel halikuwahi kuwepo.
 
Ukweli ni kwamba. Eneo linaloitwa Israel ni Palestine. Israele existed 1945, baada ya waingereza kuligawa eneo hilo.

Soma History mzee. Baada ya wayahudi kuchinjwa kule Ujerumani, Wayahudi dunia nzima walipiga kelele kuwa wanataka wawe na nchi yao ya wayahudi. Ndipo uingereza ikaigawa Palestine. Je, Palestine wanaamuliwa maisha yao na waingereza. The original jews ndio hao Palestinians. Na sio hao akina Netanyahu.

Netanyahu Asili yake ni Poland.
Hapo unatwanga maji kwenye kinu Tu. Hawezi kukuelewa. Hao huwa tunawaita "African Christian Zionist". Hao ubongo wao umesharibiwa na propaganda za Zionists mpaka hawawezi kufukiri tena.

Mambo ya Israel yako wazi kila mtu ajionne. Wakristo wanalalamika, waislam wanalalamika. Kila mtu analalamika kuliko wao tu. They think they have an obligation to protect Israel at any cost, for the second coming of Jesus. 🤣🤣

Achana nae!!🤣🤣
 
Unadhani kuniita mbumbumbu kutabadilisha kuwa wewe ni mgumu kuelewa??
Pole sana
Nielewe huu ujinga wako au nini? 😂 😂 😂 Nikama kumfundisha anayejua 1+1=2 eti 1+1 = 10 alafu akikataa useme ana ugumu wa kuelewa?😂
 
Nielewe huu ujinga wako au nini? 😂 😂 😂 Nikama kumfundisha anayejua 1+1=2 eti 1+1 = 10 alafu akikataa useme ana ugumu wa kuelewa?😂
We huelewi ni kichwa kigumu.
Mwenzio tulijadiliana tukaelewana.
We baki na kichwa chako kigumu
 
Unaleta picha za miaka 14 iliyopita siyo 🤣 🤣 🤣 Umeishiwa mzee.

1706882012478.png
 
Back
Top Bottom