Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Matajiri wa Kenya wanaokufa kwa njaa kila mwaka.
Matajiri waringe? Hawa nimeishi nao sehemu kadhaa, wana njaa mbaya sana. Usione hawa keyboard warriors humu kila mmoja anajidai matawi. Mmoja nimeona anasema ile nyumba ya mbagala ni ya mtu mwenye pesa! Ndio ujue level zao.
 
Jana nilipata nafasi ya kupita kawe nimeona cranes zikiwa active kwenye mradi wa seven eleven pale .. sikupata nafasi ya kupiga picha kwasababu nilikua na haraka. On the other hand mradi wa Samia housing scheme tayari wameshafika gorofa ya nane.. kwasasa maeneo mapya kwa ujenzi wa high rise buildings yenye tutajivunia sana in the next 5 years ni pamoja na
1.Magomeni
2.Ilala
3.Kawe
4.Mwenge (new business center)
5.Sinza & Ubungo

Haya maeneo yanakuja kwa kàsi mno
 
If you can survive in Kenya, you can survive anywhere in the world! Take it as a complement.
ldc.jpg

continue lying to yourselves......impoverished countries like tanzania have no say in the global space.CCM inawadanganya kama makondoo tuu ......we know your poor tanganyika very well bro.You are a very poor country and thats a fact.
 
Back
Top Bottom