Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

this overrated isiolo mnajaribu lakini wapi.....looks so villagish
Naislum looks more like Turkana

PicsArt_12-12-07.26.25.jpg
PicsArt_12-12-11.45.24.jpg
 
Renovation of Kariakoo ni mwendo wa demolition old structures and building new ones. Hii inafanywa na private sector. 1/2/2024 mzigo unaanza. Ujenzi wa high rise buildings DAR umerejea katika hali yake 👇
View: https://youtu.be/QVnzUddV_Z8?si=R3ssOogN4zGtSpuk.

Mh hii Tanzania inaendelea kwa speed ya light haki ya mama, tunafanya mambo makubwa kwa wakati mmoja hawa vibera wakija kustuka tuko mbali alafu sana.
 
Ile gari yako uliopost ulinunua mpya? Kenya kuna magari mabovu Tz hayawezi kuruhusiwa kutembea.
Ebhn jamaa ile gari aliyoonesha mkuu ni imechoka hakuna mfano na I'm 100% sure ile gari sio yake, lkn hata ikiwa yake ni aibu kwa mtumbua mishipa kama yeye kumiliki gari nzee vile, that means mishahara kenya bado ipo chini sana, kwa mtumishi wa umma na mtumbua mishipa kama yeye huku bongo hawezi kuwa na gari kama ile ukweli usemwe.
 
Matajiri waringe? Hawa nimeishi nao sehemu kadhaa, wana njaa mbaya sana. Usione hawa keyboard warriors humu kila mmoja anajidai matawi. Mmoja nimeona anasema ile nyumba ya mbagala ni ya mtu mwenye pesa! Ndio ujue level zao.
Nilishangaa hata mm kaka eti jamaa anakuambia ile nyumba aliyopost chongchung ni nyumba ya tajiri, daah nikastuka sana alafu ni mtu anajifanya yuko vizuri financially, wallahi nawaambia hawa wakenya ni fukara sana kaka.
 
Muda wa kuonesha stand sasa. Hapa ni Mwanza

View attachment 2887830

View attachment 2887831
hebu acha kiherehere bus station yetu bado iko kwa render stage😎ikiisha itakua one of its kind in Africa, itakua na electric terminus, massage rooms na itakua locally made unlike chenye mko nacho,penye haiwezi tufikia ya chinese made I swear kama haita kuwa last launched soon nitakula githeri wiki nzima 😎mark my word😎kenya ndo sisi kusema 😄😄😄😄
 
Mji wa Serikali Dodoma (Magufuli City)

View attachment 2888353
Ona green ilivyokolea, wakenya bado wanakyambia nchi yao ni semi arid na kwamba haiwezi kuwa green hata iweje, sisi tayari tushaifanya Dodoma ya kijani, sisi ndiyo china ya EA hawa wazembe waache waendelee kuzubaa zubaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
hebu acha kiherehere bus station yetu bado iko kwa render stage😎ikiisha itakua one of its kind in Africa, itakua na electric terminus, massage rooms na itakua locally made unlike chenye mko nacho,penye haiwezi tufikia ya chinese made I swear kama haita kuwa last launched soon nitakula githeri wiki nzima 😎mark my word😎kenya ndo sisi kusema 😄😄😄😄
Hii lugha gani?
 
Mji msafii well planned, barabara Pana, pedestrian Walk ways Pana, cyclists lanes pana, ikijazwa gorofa itapendeza zaidi... I also would like to see the construction progress of mashujaa monument.. hakuna picha yoyote enye umeona, please share with us.
Nilitaka nikuulize wewe hili swali kuhusu progress ya mashujaa monumement mana mpaka sasa itakuwa iko mbali sana.
 
Back
Top Bottom