Inferiority complex kwa hawa nyumbu is wild 😂😂😂
View: https://twitter.com/amerucan_bantu/status/1751859517115990171?t=VFZa-PwzD_w7IuGeGAriZA&s=19
AI na nyumba wapi na wapi? Umejifunza neno AI leo halafu ukaona lazima ulitumie? 😂 😂 Wewe nimerudia, akili yako sii timamu. Hujielewi. You need to talk less and listen more.Yaani katika karne hii ya Technologies unaongelea Design!!! 🤣 🤣 🤣 🤣 😁 😁 😁 Nadhani bado uko nyuma sana kwenye issue za technology. Watu kwa sasa wanaongelea AI wewe unakuja kutupigia kelele kuhusu design ya kajumba tena ka hovyo hivyo 😁😁😁😃😃😃
Huna akili, wewe umepost mradi mpya yeye kakuambia huko tulishatoka miaka mingi iliyopita that is why hakuna tatizo la maji Dar ila nairobi ni tatizo la miaka nenda rudi.I posted a new reservoir. This is an existing water treatment plant. You're childish and stupid.
Hii kufika Kunyaland mpaka wapate mkopo wa trillion 5
View: https://twitter.com/AHYZAHY/status/1751873149992411538?t=uhAB-aakct3Zgot-QvgrYQ&s=19
Thibitisha.This don’t exist nomore.. Thanks for the history lesson… all shacks by the rail line were removed and a wall built
Huyu kondoo kingereza kinamsumbua sana.How malls do you outside Dar is Slum?😂
Kama Copacabana mwanangu ❤️😘😘😍🇹🇿🔥🔥🔥
Huwa una haraka sana ya kujibu mpaka unakosea kosea, haraka ya nn au ndiyo tuamini upo kwenye heat period.Kama hakuna mwenye wa basi unakujanga kufanya nini Kenya?🤣🤣🤣😂
Imefikia hatua siku hizi watanzania hatuna muda mchafu wa kushindanisha usiku na mchana.Sina muda wa kukuonesha kwasababu kila siku unaoneshwa, haina haja ya kuumia kwa leo 😅😅😅😅😅
You are not worth quoting me. I don't usually entertain watchmen.Huwa una haraka sana ya kujibu mpaka unakosea kosea, haraka ya nn au ndiyo tumaini upo kwenye heat period.
Nyumba ya million 27 tena kwa marketing price, ukijenga mwenyewe na kiwanja juu ni million 22, Tanzania maisha ni simple ndio maana huoni umasikini humu kama mlionao ninyi!Hiyo nyumba ya Mbagala sio ya mlala hoi hata wewe mwenyewe unajua. Wewe mwenyewe utakufa kabla ujenge nyumba kama hiyo. 😂
Sasa wewe unafanya nn humu, si uondoke kwenye hii forum ya watanzania? Hatutaki wakenya humu tuliwavuta ili tuwaoneshe maendeleo yetu na jinsi tulivyowaacha kimaendeleo zen muondoke, now it's time to go and leave us.Of course, there is only one Kenyan on this thread with different names. Wakenya hatuna wakati na hii thread. 😂 😂 😂
Unataka vita ya shule irudi? 😂😂This is necessary for countries with teacher shortage. Otherwise in terms of classroom technology you're nowhere near us.
View attachment 2886947View attachment 2886949
Kameumia ☝️☝️🤣🤣🤣🤣🤣You are not worth quoting me. I don't usually entertain watchmen.
Wanaume tushaingia akae kwa kutulia, linapokuja suala la peace EA Tanzania haitaki mzaha, atapigwa yeyote yule kwa maslahi ya Tz mana sisi ni kama USA hapa EA, tutampiga yeyote na kwa muda wowote ule tunaotaka, alete fyoko fyoko aone, yeye c anategemea wazungu, sasa ndio tushaingia atulize mshono, Tz sio kenya au uganda.Huyu kunguru anasumbua sana DRC ni muda sasa ashughukikiwe ipasavyo, anayeenda kupigwa ni M23 ni nini kinamfanya abweke ovyo!
This house would cost a similar amount to build in Kenya so I don't know what you're talking about. (Kshs. 1M - 1.5M depending on location) It is still not a house for the poor in Tanzania. This is your typical Tanzanian middle class.Nyumba ya million 27 tena kwa marketing price, ukijenga mwenyewe na kiwanja juu ni million 22, Tanzania maisha ni simple ndio maana huoni umasikini humu kama mlionao ninyi!