Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikuambia kwa wajinga wote huu uzi unaongoza. Hapa ni wapi?
6-1-scaled.jpg
Water-TZ-1.jpg
water-crisis-pic.jpg
dar-data.jpg
Nimeshangaa sana kumbe unakusanya 🤣🤣🤣🤣

1706454282197.png
 
Je, Nairobi imeisha? Maana 30Km ni nje ya Nairobi. Anzisha thread nyingine nitakuja kukupatia moto. Maana unaanzisha vitu bila utaratibu. Au siku hizi wakenya mmekuwa vichaa? 😁 😁
20 km from dar is a slum CBD kumbe hakuna any urban center. 😂 😂 😂 Nionyeshe hata mall moja nifunge account. Dar imezungukwa na vijiji tu.
 
20 km from dar is a slum CBD kumbe hakuna any urban center. 😂 😂 😂 Nionyeshe hata mall moja nifunge account. Dar imezungukwa na vijiji tu.
Sasa mimi sipendi kujibishana hivi kama watoto. Kama huna kitu cha kuonesha nenda kalale. Ebo 🤣 🤣 🤣
 
Ni kwamba hujui kusoma tables ama? 51,000 PAX in 2022! Ndo maana Nigeria imekataa degree za Kenya imagine una degree ya elimu ya wadudu!
So what can I say about Mabati Rolling Mills handling only 2M passengers?😂
 
Tanzania nzima only have 10 buildings of 100 meters and above😂😂.
 
Back
Top Bottom