Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siasa za maziwa makuu.
Naona ameanza kutumia watu wa pr ila this time inatakiwa kunguru apigwe hadi kwake.
Kisha anyanganywe uanachama wa EAC.

View: https://x.com/marlonluzayamo_/status/1751724376221712480?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw

Huyu ndo sponsor wa M23 ndio maana kila wakitaka kuguswa anaanza vitisho.

View: https://youtu.be/vtxrGUF8cWk?si=PLKNRkviXsXrZVXl

Jeshi la kenya lilienda hakuongea chochote. Wazee wa kazi wameingia ameanza kuhaha.

Hakuna mtu anayekuja kuivamia Rwanda. Watu wameingia Congo kuwaondoa M23. Yeye anahaha nini? Mbona Burundi, Tanzania na Uganda Tutsi wapo?

Atulie hivyo hivyo wanaume wafanye kazi. Burundi tayari eshafunga mpaka. Silaha zitapitia burundi. Zitaenda Congo.
 
Huyu kunguru anasumbua sana DRC ni muda sasa ashughukikiwe ipasavyo, anayeenda kupigwa ni M23 ni nini kinamfanya abweke ovyo!
 
Mombasa ndio rika yenu...mnalazimisha lakini hailazimishwi.
Mbsa.jpg
Mbsa.jpg
 
Hahaha, good. But hii mmeipost sana tangu enzi zile. Ebu nipostie nyingine, maanake hapa nairobi nikianza sitamaliza.
Eti nairobi nikianza sitamaliza, kuna kipi kipya utapost hatukijui, atleast sisi watz tunaweza kupost miradi mipya ila nyie wakenya hamna jipya, daily westland, upper hill unamalizia na gtc 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unafananisha bungalow za kwenu na makaazi ya mtu wa Chini Nairobi, hivi nikikupoostia nyumba za kwetu ushago utasemaje? 🤣 🤣
Mfano hii

250b79cd83d6d2d9.jpg
Sasa unafikiri hizo bungalows ni za matajiri? 😂😂😂 Hizo ni nyumba za watu wa kawaida na ndio nyumba za uswahilini hizo kuanzia million 13 unanunua 3 bedroom house, 825k Kunyaland madafu, Kunyaland is impossible

Hizi ni nyumba za uswahilini lakini Kunyaland ni nyumba za vibopa na huwezi kuzipata bila 6 million KES kuendelea
images (4).jpeg
images (5).jpeg
Screenshot_20240129-092706.jpg
Screenshot_20240129-092812.jpg
Screenshot_20240129-092856.jpg
Screenshot_20240129-093023.jpg
 
Sasa unafikiri hizo bungalows ni za matajiri? 😂😂😂 Hizo ni nyumba za watu wa kawaida na ndio nyumba za uswahilini hizo kuanzia million 13 unanunua 3 bedroom house, 825k Kunyaland madafu, Kunyaland is impossible

Hizi ni nyumba za uswahilini lakini Kunyaland ni nyumba za vibopa na huwezi kuzipata bila 6 million KES kuendelea
View attachment 2886815View attachment 2886816View attachment 2886817View attachment 2886818View attachment 2886819View attachment 2886820
Ugly designs. We don't do this. Our normal man's bungalows look like this with large windows.
PHP_3564-1-scaled.jpg
 
Tofauti nyingine utatoka Nairobi upite caunties nyingine 5 😂😂😂

Boundaries don't matter. What matters is you'll be driving through a continuous urban area for over 80km just to cross Nairobi - something you can't find in Tanzania. 😎
 
Back
Top Bottom