Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mtu humu huquote comment zote za Wakenya Ila huwa hajibiwi. Huwa namuonea huruma sana huyu mtu. Najua mnamjua na pia anajijua.🤣🤣🤣
 
AI na nyumba wapi na wapi? Umejifunza neno AI leo halafu ukaona lazima ulitumie? 😂 😂 Wewe nimerudia, akili yako sii timamu. Hujielewi. You need to talk less and listen more.
Mzee unajua hata maana ya AI? Hebu ondoa ushamba wako hapa. 🤣 🤣 🤣 AI siyo chatGPT na Bard pekee mzee.
Watu wana print 3D halafu unakuja kubweka hapa 🤣🤣🤣.
Acha ushamba mzee 🤣🤣🤣
 
Kuna mtu humu huquote comment zote za Wakenya Ila huwa hajibiwi. Huwa namuonea huruma sana huyu mtu. Najua mnamjua na pia anajijua.🤣🤣🤣
Sura za wakenya 🤣 🤣 🤣

1706525750037.png
 
Mzee unajua hata maana ya AI? Hebu ondoa ushamba wako hapa. 🤣 🤣 🤣 AI siyo chatGPT na Bard pekee mzee.
Watu wana print 3D halafu unakuja kubweka hapa 🤣🤣🤣.
Acha ushamba mzee 🤣🤣🤣
I knew you learnt that word today. Nowonder you're so eager to use it. Don't worry, you'll outgrow it.
 
Kuna mtu humu huquote comment zote za Wakenya Ila huwa hajibiwi. Huwa namuonea huruma sana huyu mtu. Najua mnamjua na pia anajijua.🤣🤣🤣
Me nakupelekea moto tu mpaka maji uite mma, hatunaga masihara na washamba, na huu mwaka ndiyo wa mwisho nyie kuwemo humu kwenye hii battle, mana kuanzia mwakani miradi yote ya kimkakati itakuwa ina operate, na kumbuka kwamba miradi yetu ina thamani kubwa kuliko miradi yenu yote mliyowahi kufanya tangu mpate uhuru(wa bendera) plus hivi vimiradi mlivyoanzisha miaka ya sasa, tuna jeuri hiyo ya kuwaambia mtakimbia humu.
 
Back
Top Bottom