President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,095
- 93,513
Yaani katika karne hii ya Technologies unaongelea Design!!! 🤣 🤣 🤣 🤣 😁 😁 😁 Nadhani bado uko nyuma sana kwenye issue za technology. Watu kwa sasa wanaongelea AI wewe unakuja kutupigia kelele kuhusu design ya kajumba tena ka hovyo hivyo 😁😁😁😃😃😃Ugly designs. We don't do this. Our normal man's bungalows look like this with large windows.
![]()