Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jirani hana umeme, hajui kingereza, hajui kandanda, na anasombwa na mafuriko. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://x.com/SamakiOnline/status/1748939415303372996?s=20

Kuna marekebisho yanafanyika na hilo lilishatangazwa moja ya matengenezo ni kubadili nguzo toka za magogo kuweka nguzo za zege.
Pia kuna marekebisho kati ya Pwani na Dar kupitia Kibaha mpaka Mlandizi.
Hivyo hilo ni jambo la kawaida.
Nataka unipe jibu.
1)Vipi mmemalizana na njaa na upandaji wa bei ya bidhaa?
2)Vipi mmetatua suala la mfumuko wa bei ya mafuta??
Nipe hayo majibu mawili tu.
 
Haya tuseme taifa stars kaingia AFCON makundi nyinyi mumeingia wapi jela au?πŸ˜…
Hatukuenda AFCON coz we didn't play the qualifiers. If we did, hatungeshindwa kupata ushindi dhidi ya watu kumi
 
Nakwazika mtu anaongelea history πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Si mpira wao wa vilabu si team yao ya taifa zote hakuna inayoshiriki mashindano ya kimataifa.

Ukija Tz kwenye mpira wa vilabu ndio hivyo tena team zetu zinashika top 5 huko CAF alkadhalika team yetu ya taifa ipo Afcon huko inajitafuta.

Bado eti wanashindana nasi kimpira πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi ni vichekesho walahi.
Ingekua historia inatizamwa kila siku Brazil ingebaki kuwa taifa top katika ranking za fifa ila fifa kila mwaka hutoa ranking mpya.
We hushiriki mashindano makubwa pia hata ligi yako iko chini unategemea utabaki kuwa rank ileile?
Huyo jamaa hajui kitu kuhusu mpira.
 
Of course mnashiriki. You didn't go there to compete, you went there to participate. About us not being in AFCON, hata qualifiers hatukucheza coz of the FIFA ban, just in case you didn't know. Nway, DRC itafanya Ile kitu in your next match. Brave for a thorough beating from the Lingala boys
Muna sababu nyingi za kufungiwa.
Hivyo ni uzembe wenu.
Ranking mpya zinatoka hivi karibuni tuone kama mtabaki hapo hapo.
 
Chelsea is ranked the fourth best club at the EUFA Champions league despite not participating in any European competition this season. But since Tanzanians doesn't usually know anything about football, I don't expect you to be aware that you can participate in a tournament but still ranks lowest than other teams that didn't participate.
We punguani kweli una uhakika chelsea hajashiriki mashindano yoyote?
Fuatilia mashindano mawili au matatu alocheza Chelsea.
Fuatilia msimu ulopita kamaliza nafasi gani.
Hujui kuhusu mpira wewe.
 
Timu zetu huwa inatomba all your teams whenever they meet. Simba and Yanga wanajua Gor Mahia vizuri sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Gor Mahia is the only East African team with a continental trophy.
Continental troophy ipi?
CAF,CAFCC?
Au CAF super cup?
Maana hayo ndio continental troophies hapa Africa.
 
We punguani kweli una uhakika chelsea hajashiriki mashindano yoyote?
Fuatilia mashindano mawili au matatu alocheza Chelsea.
Fuatilia msimu ulopita kamaliza nafasi gani.
Hujui kuhusu mpira wewe.
You are just idiot like other Tanzanians here. Which European competition is Chelsea playing this season?
Last season Chelsea finished 12th in the league.
 
Sports pesa ni mdhamini mdogo sana hata akitoka hakuna athari.
Wadhamini wakubwa NBC,GSM NA AZAM MEDIA.
Nani alikudanganya sport pesa ina sponser league yetu?? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Nani alikudanganya sport pesa inamilikiwa na kenya??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
You are just idiot like other Tanzanians here. Which European competition is Chelsea playing this season?
Last season Chelsea finished 12th in the league.
We kweli punguani.
Chelsea Uefa ulifuatilia rekodi zake msimu ulioisha?
Na wa juzi?
 
You are just idiot like other Tanzanians here. Which European competition is Chelsea playing this season?
Last season Chelsea finished 12th in the league.
Unatuletea taarifa za uongo ranking mpya hii hapa ntafutie chelsea hapo.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-01-22-22-55-52-79_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-01-22-22-55-52-79_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    97.9 KB · Views: 14
Nani alikudanganya sport pesa ina sponser league yetu?? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Nani alikudanganya sport pesa inamilikiwa na kenya??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Sijui kama ya kenya au laah bro mbona unanisakama kama mie 254πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama nimekosea nirekebishe
 
Back
Top Bottom