REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,645
- 11,608
Tatizo ni TFF na aina za makocha wanaoletaTuna league bora sana ya 5 africa lakini shida yetu team ya taifa haina muunganiko mzuri, mbona huizungumzii south africa iko top 4 kwenye league lakini ilifungwa na mali?