Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe jamaa ni kichaa.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwahyo Tz tulifika hapo AFCON bila kushinda mechi.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwamba tulifika Afcon kimiujiza.? Vipi kuhusu our yesterday draw against Zambia? Hizo si vigezo.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Do you even know how FIFA does its rankings bongolala? The fact that you you'll lose two matches and draw one in this tournament means your ranking will go even lower than it is currently. Don't even dream of overtaking us in FIFA rankings after AFCON. It will only happen in your dreams as you wet your bed

And yes I am talking about history because that's what defines everything
Soma post yangu ya juu we kichaa
 
Waacheni maneno mengi sasa hamjashiriki kutokana na upuuzi wenu wenyewe, kwahyo kaeni kwa kutulia wanaume tupambane.
Nyinyi ni wanaume kweli ama ni wanadada? Wanaume gani wanashindwa kupata ushindi dhidi ya wtu kumi?🀣🀣🀣
 
Nyinyi ni wanaume kweli ama ni wanadada? Wanaume gani wanashindwa kupata ushindi dhidi ya wtu kumi?🀣🀣🀣
Kwahyo wale jamaa walipangwa kumi.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huu ni wivu wa namna gani.?
 
Waacheni maneno mengi sasa hamjashiriki kutokana na upuuzi wenu wenyewe, kwahyo kaeni kwa kutulia wanaume tupambane.
Hata wasingefungiwa wala wasingefuzu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama timu yao ni bora mbona hawakufuzu AFCON ya 2021,
Excuses wanazotoa saa hii eti walifungiwa.
Kwa hili group labda wangefuzu vuzi tu.
Non football country.
IMG_3969.jpeg
 
View attachment 2879697
We fala huoni Kenya played zero matches. Hujui kusoma a simple table na wewe ndio unategemewa kwenu. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
They got a red card and played with ten men most of the time. I bet hata wangebaki wachazaji saba uwanjani bado mngeshindwa tu kupata ushindi
Haya ni maneno ya wivu wa kike πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wacha kulia .. hiv nyie mtacheza lini AFCON vile .? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ U should wait until 2027 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haya ni maneno ya wivu wa kike πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wacha kulia .. hiv nyie mtacheza lini AFCON vile .? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ U should wait until 2027 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bado nasubiri jibu langu, ni mashindano gani ya kimataifa timu zao zinashiriki? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi una habari hata tungeshinda wangetoa tu excuses kuwa tumewafunga kwa sababu wapo pungufu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hao jamaa ni wivu unawasumbua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ they wanna see us do good but never better than them. Hao ni wachawi wetu, roho zinawauma wakiona tunawapita. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hao jamaa ni wivu unawasumbua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ they wanna see us do good but never better than them. Hao ni wachawi wetu, roho zinawauma wakiona tunawapita. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wakiwa kwenye mitandao mingine ya kijamii wanamlilia waziri wao wa michezo kuhusu mpira wao.

Hivi kwanza wana habari kuwa timu yao ya taifa ya mpira wanawake kwenye FIFA ranking imeshuka chini kwa hatua tano hadi wamewekewa mshale mwekundu huku timu ya wanawake Tanzania ikipanda juu kwa hatua 6!
 
Mzee unazungumzia history πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ subiri Afcon iishe uone kama mtaendelea kuwa ranked above us taifa lenye u didn't qualify the tournament
Nyinyi mmefanya nini AFCON?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£ Tanzania is worse than countries that haven't participated in AFCON. Tanzania is the only country that has never won a match at AFCON.
 
Imagine kiwango chako cha upumbavu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa kwaakili yako wewe unaweza kuwa ranked mbele ya taifa lenye nishiriki mashindano makubwa while u don't.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Utakuwa umepimwa uwezo kupitia nini.? πŸ˜‚πŸ˜‚ Au unadhani top rankings ni favor eeh.?
Chelsea is ranked the fourth best club at the EUFA Champions league despite not participating in any European competition this season. But since Tanzanians doesn't usually know anything about football, I don't expect you to be aware that you can participate in a tournament but still ranks lowest than other teams that didn't participate.
 
Back
Top Bottom